INASIKITISHA : Simba tayari ameshapoteza hii game. Arudi tu kuja jipanga

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola.

Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya. Atarudi amechakaa sana. Hatokuwa na afya njema.

Simba hawana Kocha , hawana wachezaji. HAWANA TEAM KIFUPI HAMNA KITU KABISA. NI WAHUNI TU WAMEKUSANYANA NA KUJIITA TEAM.

NIMEKAA PALE 👉
 
Yanga Bingwa.
 
Attachments

  • IMG_20221009_115830.jpg
    IMG_20221009_115830.jpg
    20.2 KB · Views: 2
Kwamba mareferee wa game ya leo kati ya de agosto na mnyama walichukia sana baada ya uto kukataliwa goli la ofside hivyo hasira zao wanataka wazishushe kwa mnyama? Ubaya ni kwamba marefa wa leo sio kina arajiga utegemee wakulipie kisasi uto! Wekufa kifo chako tu wala usife kifo cha mende! Unafikiri babra ndo aliwaagiza waamuzi wakunyime goli?
 
Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola.

Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya. Atarudi amechakaa sana. Hatokuwa na afya njema.

Simba hawana Kocha , hawana wachezaji. HAWANA TEAM KIFUPI HAMNA KITU KABISA. NI WAHUNI TU WAMEKUSANYANA NA KUJIITA TEAM.

NIMEKAA PALE [emoji117]
Ufala mwingi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umesahau wachagoat nao ni binadamu na hawatabiriki?
Umesahau aliyesema simba ni underdog alafu akafuzu hadi robo fainali?
Tusubiri game ichezwe. Otherwise endelea kukaa pale [emoji117]
 
Wewe umeongea kimichezo.... Siyo jamaa zako wao wanajua tu maneno machafu... 😁
 
Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola.

Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya. Atarudi amechakaa sana. Hatokuwa na afya njema.

Simba hawana Kocha , hawana wachezaji. HAWANA TEAM KIFUPI HAMNA KITU KABISA. NI WAHUNI TU WAMEKUSANYANA NA KUJIITA TEAM.

NIMEKAA PALE [emoji117]
Popoma katika ubora wako Na utoporo
 
Back
Top Bottom