martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
Tena wewe ningekuwa karibu nawe ningekunasa makofiI wish matusi yote atukanwe mtoa mada kama kuna ulazima sana wa kufanya hivyo. Tusiende kwa wazai wetu! Maana hawahusiki kabisa na hiki kinachoendelea humu jukwaani.
Ni ushauri tu lakini.