INASIKITISHA : Simba tayari ameshapoteza hii game. Arudi tu kuja jipanga

Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola.

Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya. Atarudi amechakaa sana. Hatokuwa na afya njema.

Simba hawana Kocha , hawana wachezaji. HAWANA TEAM KIFUPI HAMNA KITU KABISA. NI WAHUNI TU WAMEKUSANYANA NA KUJIITA TEAM.

NIMEKAA PALE 👉
1A0FE88E-7A19-48AE-9CF9-2833E30426C6.jpeg
 
Umekaa zako pale unachokonolewa au sio
 
Unajisikiaje utopwinyo .?
 
NIMEKAA PALE [emoji117]
Hivi zinakutosha kweli au unazo za kuvukia barabara tu?
 
Back
Top Bottom