Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Tuna safari ndefu sana ya uzalendo. Huu ni ujinga uliopitiliza.Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola.
Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya. Atarudi amechakaa sana. Hatokuwa na afya njema.
Simba hawana Kocha , hawana wachezaji. HAWANA TEAM KIFUPI HAMNA KITU KABISA. NI WAHUNI TU WAMEKUSANYANA NA KUJIITA TEAM.
NIMEKAA PALE [emoji117]