Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mkuu huwezi tu kuchangia bila kusambaza tabia zako au kuonesha malezi uliyopitia?Jiingize kidole unuse
Ufala mwingi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola.
Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya. Atarudi amechakaa sana. Hatokuwa na afya njema.
Simba hawana Kocha , hawana wachezaji. HAWANA TEAM KIFUPI HAMNA KITU KABISA. NI WAHUNI TU WAMEKUSANYANA NA KUJIITA TEAM.
NIMEKAA PALE [emoji117]
Wewe umeongea kimichezo.... Siyo jamaa zako wao wanajua tu maneno machafu... 😁Ufala mwingi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umesahau wachagoat nao ni binadamu na hawatabiriki?
Umesahau aliyesema simba ni underdog alafu akafuzu hadi robo fainali?
Tusubiri game ichezwe. Otherwise endelea kukaa pale [emoji117]
Ukishasokomezwa mwiko nyuma akili lazima zihameView attachment 2381517
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Popoma katika ubora wako Na utoporoNina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola.
Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya. Atarudi amechakaa sana. Hatokuwa na afya njema.
Simba hawana Kocha , hawana wachezaji. HAWANA TEAM KIFUPI HAMNA KITU KABISA. NI WAHUNI TU WAMEKUSANYANA NA KUJIITA TEAM.
NIMEKAA PALE [emoji117]
Jifariji ndiyo nani huyo?Naona unajifariji
[emoji1787][emoji1787]Mkuu huwezi tu kuchangia bila kusambaza tabia zako au kuonesha malezi uliyopitia?
Kumbe tayari wameshakuharibu namna hii daaaah [emoji15][emoji28]Ukishasokomezwa mwiko nyuma akili lazima zihameView attachment 2381517
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app