INASIKITISHA : Simba tayari ameshapoteza hii game. Arudi tu kuja jipanga

Komeo Lachuma 🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫
 
Aibu yako hii aibu ya gongowazi wote
 
Unateseka ukiwa wapi brother [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 

Wewe bwege kama mama yako aliyekuzaa!
 
Hongereni kwa ushindi. Ila bado safari haijaisha. Bado mna kumbukumbu mbaya ya kutolewa na UD Songo na Galaxy mkiwa kwa Mkapa.
Unayo kumbukumbu mbaya pia ya Rivers United walivyowapiga kwa ile staili mnayoipenda sana ya nje ndani.
 
Uto mnatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…