martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
Tena wewe ningekuwa karibu nawe ningekunasa makofiI wish matusi yote atukanwe mtoa mada kama kuna ulazima sana wa kufanya hivyo. Tusiende kwa wazai wetu! Maana hawahusiki kabisa na hiki kinachoendelea humu jukwaani.
Ni ushauri tu lakini.
Me namsubiri hapaWe mwandishi wa thread hii upo wap? Tumekuwajibsha
Na kwa bahati mbaya sasa kwako, ungekutana uso kwa uso na mimi! Ungeanza mwenyewe kunisalimia "shikamoo braza"Tena wewe ningekuwa karibu nawe ningekunasa makofi
Pole sana aisee...endeleeni kujifunza kwa simba.Wewe umeongea kimichezo.... Siyo jamaa zako wao wanajua tu maneno machafu... [emoji16]
Mje kuchukua notes tuJiandae kwa mechi yetu sasa😂😂
Usinifanyie hivyo...nipe nafasi nije kukupongezaaaMje kuchukua notes tu
Umekaa wapi jibwa koko tuje kukushika tako?Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola.
Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya. Atarudi amechakaa sana. Hatokuwa na afya njema.
Simba hawana Kocha , hawana wachezaji. HAWANA TEAM KIFUPI HAMNA KITU KABISA. NI WAHUNI TU WAMEKUSANYANA NA KUJIITA TEAM.
NIMEKAA PALE 👉
Tarehe 23 Oktoba 2022 utakijua tu usihofu. Yaani huyu ni spesheli kwaajili ya hilo kwingine utanguliziHuyu mgunda sijui nini kinazidi kumuweka simba
Kwa matokeo haya ya leo wewe na simba nani mhuni?Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola.
Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya. Atarudi amechakaa sana. Hatokuwa na afya njema.
Simba hawana Kocha , hawana wachezaji. HAWANA TEAM KIFUPI HAMNA KITU KABISA. NI WAHUNI TU WAMEKUSANYANA NA KUJIITA TEAM.
NIMEKAA PALE 👉
Achana nae huyoVipi kiungulia na kuvimbiwa kumeisha mkuu?
Hivi we ni Kalpana yupi au wa kwenye ghajin ya aamir khanVipi kiungulia na kuvimbiwa kumeisha mkuu?