Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangaa na weweRais akifanya maboresho zenji tunalalama pakiwa hovyo tunalalama....
utasikia uchumi wa buluu haujakaa sawaView attachment 2756377
Picha ya kwanza chumba cha wahudumu
View attachment 2756380
picha ya pili Wodi ya wagonjwa
Nouma sana aisee [emoji848][emoji848]View attachment 2756377
Picha ya kwanza chumba cha wahudumu
View attachment 2756380
picha ya pili Wodi ya wagonjwa
The country is heading to the wrong directionView attachment 2756377
Picha ya kwanza chumba cha wahudumu
View attachment 2756380
picha ya pili Wodi ya wagonjwa
UCHUMI WA BLUU...!!😁Imebidi nicheke, zile pesa waliteketeza Kizimkazi si wangetengeneza hapa jamani.
Ukiwaona kwenye majukwaa na full suti zao Utadhani watu kumbe ni vilaza.
Majuzi Rais wao alikuwa Ujerumani anajitapa kwamba Zanzibar ya wakati ule siyo ya sasa, akawaambia diaspora warudi wajionee, sasa kama hivi ndiyo hali ilivyo baada ya rais kuboresha vipi ilikuwa kabla ya hapoView attachment 2756377
Picha ya kwanza chumba cha wahudumu
View attachment 2756380
picha ya pili Wodi ya wagonjwa
Kuna vitu vingine kutoa ya moyoni inabidi nijizuie,maana akaunti yangu permanent nimekula ban miezi kadhaa,wanasiasa wa tanzania ni wa...
Hapa ni Znz au Comoro?View attachment 2756377
Picha ya kwanza chumba cha wahudumu
View attachment 2756380
picha ya pili Wodi ya wagonjwa