DOKEZO Inasikitisha: Tazama hali ya miundombinu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

DOKEZO Inasikitisha: Tazama hali ya miundombinu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Rais anataarifa na hiyo Hali maana hiyo hospitali iko jirani Sana na ikulu ya Zanzibar.
Rais kwa Sasa anashughulika na bandari kwanza.
 
Rais akifanya maboresho zenji tunalalama pakiwa hovyo tunalalama....
 
Sehem nyingine ni Uchafu,kama hiyo friji ni michilizi ya uchafu mpaka kinyaa
 
Kwa huduma hapo unaweza jikuta unaondoka na magonjwa mengine !!
 
Hapo ni hospital kuu, vipi kuhusu zahanati ndogo ndogo hali ipoje
 
Back
Top Bottom