Inasikitisha wanaume makopo wanaolelewa wamekuwa wengi

Kwahiyo kuwakumbusha wanaume wajibuwao ni tatizo , wewe unalelewa punguza makasiriko dawa ndo kwanza inakuigia
ni rahisi sana kunishambulia ...Unakumbuka nilisema kama wewe ni mwanaume basi kuna tatizo mahali
Mwanaume hufikiria kwa mantiki mfano hapo ungetumia mantiki kama mwanaume usingetoa jibu la hovyo kama hilo hapo juu

Mbili mwanaume hakumbishwi kuwajibika kama ambavyo samaki hakumbushwi kuogelea ama ndege kupaa

Nina mashaka na jamii unayotokea ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…