Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Hata usipofua bado utapata stress. Raha ya mahusiano kwa jinsia yetu ni kuwa na maamuzi. Sasa mfano mna kaproject kenu fundi anakuuliza mtumie material gani swala la kufanya maamuzi hapo hapo halafu wewe unamwangalia mkeo kabla ya kujibu sababu hujui ana Tsh ngapi? Si ni stress hiyo? Unapata changamoto ya afya ya akili ukiishi hivyo.Hapo lazima ufue mpaka chupi za bidada, ila ni ngumu mno mwanaume wa kiafrika kuvumilia huo unguruwe ,kuna mda tu atasanuka