Inasikitisha wanaume makopo wanaolelewa wamekuwa wengi

FB_IMG_1783241829634.jpg
marioo sugu akiwa na demu wake anayemlea,demu ni malaya aliyekubuhu nasikia jamaa ndio kajiweka hapo ili apate unafuu wa maisha
 
Wanaume wengi wamekuwa wavivu sana, its either hawataki kazi au hawataki kufanya kazi "zilizo chini ya viwango vyao"

Mama aende kutafuta, alete mume ale na watoto...
Aisee hiyo imekaa vibaya sana kama hauna changamoto za kiafya usikubali mwanamke ukulele itakuletea dharau kubwa sana
 
Wewe nakuunga mkono...Ukiona mama anailisha familia ipo sababu huyo mwanaume anapaswa kushikwa mkono na jumuiya ya wanaume wenzie sio kukemewa/vijembe nk
Nimewahi kuona saidia fundi tu yenyewe unahitaji connection
Maeneo kama ya mijini kimaskhara unaweza jikuta kazi zipo ila wewe huna...
Kimya kimya makamanda tungekuwa tunashikana mikono leo kusingekuwa na haya maneno
Kuna watu wengi wanapenda judge maisha ambayo hawayaishi.

Japo kuna wanaume wavivu na wanawake wanaopenda kulea wanaume ila ukikuta mama anaendesha familia na anaona sawa. Lazma ujiulize ni sababu gani inawafanya waungane ikiwa mwanamke hana mapungufu ya kupata hao hardworking men
 
Yah sikupingi mkuu umemaliza
 
Mkuu kuna kazi wanafanya, wanaijua wao. Kama huamini jaribu kwa mwenza wako. Akulee miezi mitatu kama mwanae, utagundua pesa ya mwanamke hailiwi bila kusota either imotianal or physical.
Hapo lazima ufue mpaka chupi za bidada, ila ni ngumu mno mwanaume wa kiafrika kuvumilia huo unguruwe ,kuna mda tu atasanuka
 
Kuna watu wengi wanapenda judge maisha ambayo hawayaishi.

Japo kuna wanaume wavivu na wanawake wanaopenda kulea wanaume ila ukikuta mama anaendesha familia na anaona sawa. Lazma ujiulize ni sababu gani inawafanya waungane ikiwa mwanamke hana mapungufu ya kupata hao hardworking men

Eatu wanaongea kirahisi tu. Utasikia saidia fundi. Hawajui kama hiyo saidia fundi yenyewe inahitaji connection. Hakuna fundi anaenda kifanya kazi halafu anasubiri wa kumsaidia waje. Fundi yoyote akipata kazi anawashtua vijana wake ambao tayari anawajua
 
Mkuu kuna kazi wanafanya, wanaijua wao. Kama huamini jaribu kwa mwenza wako. Akulee miezi mitatu kama mwanae, utagundua pesa ya mwanamke hailiwi bila kusota either imotianal or physical.
There is a price to pay
 
Back
Top Bottom