Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Wapo wanawake wameolewa na wanaume makopo ila wanawafichia aibu wanawalisha , wanawavisha. Mwamba kitaa anadunda ila kuvaa kwake , kuishi kwake ni pesa za mwanamke na yeye anaona sawa tu .
Is non of your business.Wapo wanawake wameolewa na wanaume makopo ila wanawafichia aibu wanawalisha , wanawavisha. Mwamba kitaa anadunda ila kuvaa kwake , kuishi kwake ni pesa za mwanamke na yeye anaona sawa tu .
Tatizo nimekupiga kwenye mshono acha kulelewa jitafute mwambaIs non of your business.
Very trueee madamHao ni ving'asti, bora ******* wanaotafuta kwa jasho lao.
Wengine inawalazimu maana tayari ameshazaa na huyo mtu kwahiyo inabidi apambane na hali yakendugu unadhani ni kwanini hao wanawake wanafanya hivyo?
Tatizo huyo unayemtunza anagongwa na hayo makopo wakati umeenda kumtafutia matunzo.Tatizo nimekupiga kwenye mshono acha kulelewa jitafute mwamba
mpaka anazaa na mwanaume anayeona kabisa atakuja kumlea unadhani inakuwaje mtu anafanya hayo maamuzi?Wengine inawalazimu maana tayari ameshazaa na huyo mtu kwahiyo inabidi apambane na hali yake
Akikujibu niamsheendugu unadhani ni kwanini hao wanawake wanafanya hivyo?
Kama hawezi kuwa hata saidia fundi na hana xWengine inawalazimu maana tayari ameshazaa na huyo mtu kwahiyo inabidi apambane na hali yake
Kwahiyo kuwakumbusha wanaume wajibuwao ni tatizo , wewe unalelewa punguza makasiriko dawa ndo kwanza inakuigiaMaana hapa naona kama ikiwa wewe ni mwanaume basi una tatizo mahala...ikiwa ni mumeo umekuja kumzungumzia hapa basi utueleze kwanini unamlea na kwanini ulizaa nae kisha tutamatishe mada
Hilo ni jambo lengine ila mada iliyopo ni wanaume kuwajibika tusikubali kulelewaTatizo huyo unayemtunza anagongwa na hayo makopo wakati umeenda kumtafutia matunzo.
Hhhh tatizo sheria za nchi na za dini zinakatazaTuwauweni
Basi tuwatenge kama wakoma😎Hhhh tatizo sheria za nchi na za dini zinakataza
Tatizo sisi wanaume tuna sound nyingi ila ndani ya ndoa ndio mnakutana na uhalisia wa Maisha . Tatizo sio mwanaume kuwa maskini tatizo ni kujitambuaBasi tuwatenge kama wakoma😎
ni rahisi sana kunishambulia ...Unakumbuka nilisema kama wewe ni mwanaume basi kuna tatizo mahaliKwahiyo kuwakumbusha wanaume wajibuwao ni tatizo , wewe unalelewa punguza makasiriko dawa ndo kwanza inakuigia