Inasikitisha wanaume makopo wanaolelewa wamekuwa wengi

Inasikitisha wanaume makopo wanaolelewa wamekuwa wengi

Wapo wanawake wameolewa na wanaume makopo ila wanawafichia aibu wanawalisha , wanawavisha. Mwamba kitaa anadunda ila kuvaa kwake , kuishi kwake ni pesa za mwanamke na yeye anaona sawa tu .
“Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu."

— Isaya 4:1 (Biblia Takatifu)
 
ni rahisi sana kunishambulia ...Unakumbuka nilisema kama wewe ni mwanaume basi kuna tatizo mahali
Mwanaume hufikiria kwa mantiki mfano hapo ungetumia mantiki kama mwanaume usingetoa jibu la hovyo kama hilo hapo juu

Mbili mwanaume hakumbishwi kuwajibika kama ambavyo samaki hakumbushwi kuogelea ama ndege kupaa

Nina mashaka na jamii unayotokea ndugu
Mfano wako ni hewa , ni baya lipi hapo nililosema , kwahiyo point yako ni kwamba hakuna matatizo wanaume kuelelewa ni sawa sio
 
Mpaka mwanamke anafikia hatua ya kulea kidume ni kuwa ashakua skrepa hana namna kiufupi amesha jikataa
 
Mfano wako ni hewa , ni baya lipi hapo nililosema , kwahiyo point yako ni kwamba hakuna matatizo wanaume kuelelewa ni sawa sio
unaweza kuthibitisha hoja yako?
Swali la kwanza nimekuuliza kwanini mnalea wanaume umeishia kusema kwa sababu ya watoto
Kwanini ulikubali kuzaa na huyo mwanaume ambaye leo anakufanya umlee?
Haya turejee hapa unajuaje mwanaume analelewa na mke wake?
Binafsi hakuna mwanaume anayelelewa dunia hii...haya wewe mwenye mada yako una kazi ya kuthibitisha kama wapo na umejuaje
 
Nina dada yangu alikuwa ananisimulia changamoto za mume wake ndio kiini cha hoja hii ilipotokea
 
Maisha hubadilika na mfumo unataka watu wabadilike sikuizi uchumi umehamia kwa wanawake na tena wanawake wanamiliki mabiashara,makampuni na mataasisi makubwa ambayo wanaume wengi hawawezi pia kumbuka sisi wanaume ndio tumewapa fulsa wanawake kwaiyo ukiona MWANAUME ANAKULA VYA MWANAMKE UJUA ANAKULA KAMISHENI ILIYOTOKA kwenye mfumo dume kwenda jike pia wanawake wanaolea wanaume nikam wanatoa shukran kwa mfumo dume
 
Back
Top Bottom