Inasikitisha wanaume makopo wanaolelewa wamekuwa wengi

Inasikitisha wanaume makopo wanaolelewa wamekuwa wengi

Maisha hubadilika na mfumo unataka watu wabadilike sikuizi uchumi umehamia kwa wanawake na tena wanawake wanamiliki mabiashara,makampuni na mataasisi makubwa ambayo wanaume wengi hawawezi pia kumbuka sisi wanaume ndio tumewapa fulsa wanawake kwaiyo ukiona MWANAUME ANAKULA VYA MWANAMKE UJUA ANAKULA KAMISHENI ILIYOTOKA kwenyeaise mfumo dume kwenda jike pia wanawake wanaolea wanaume nikam wanatoa shukran kwa mfumo dume
Aisee kwa maelezo yako , hali ni mbayaaaaa in Dudu baya voice sahv wanawake wamepindua meza ya kiuchumi
 
Hata wanandoa wanaopigana hadi kuuwana ni wale wasiokubali mfumo mpya wa ndoa WAZUMGU waliona mbali kuoana kwa mikataba yenye vipengele vya kisheria,uhuru wakuchagua bila kujali umri,dini
 
ndugu unadhani ni kwanini hao wanawake wanafanya hivyo?
1.Uvivu
2.Maisha huenda yamebadika mwanaume amepitia msoto
3.Toka mwanzo mwanaume alikuwa hana kitu dada alimpenda tu.
4.Changamoto ya afya ya akili (Kuna bwana alikuwa lecture akafukuzwa kazi shida sijui ilikuwa nini, akazira kufanya kazi nyingine 10+ years mkewe anaendesha familia.
5. Watoto wa mama wenyewe hawa hupenda tu kulelewa.

Women have been providers for ages wala sio jambo jipya.
 
Hata wanandoa wanaopigana hadi kuuwana ni wale wasiokubali mfumo mpya wa ndoa WAZUMGU waliona mbali kuoana kwa mikataba yenye vipengele vya kisheria,uhuru wakuchagua bila kujali umri,dini
Hata wazungu wanauana, Kama umekutana na mtu mbaya ni mbaya tu awe mchina mzungu au mzigua.
 
Hayo ni matokeo ya usawa wa kijinsia tuliousimika kwenye jamii. Zamani mwanamke akupewa fursa yoyote kwahiyo ikajulikana fursa na uchumi unashikiliwa na wanaume, ndio maana mwanaume akawajibika kuhudumia mwanamke

Kwa sasa tupo kwenye zama za usawa wa kijinsia. Wanawake nao wameingia kwenye mifereji ya kiuchumi kwahiyo lazima idadi ya wanaume watakaokula keki ya taifa itapungua.

Suala la kuwa na hela ni randomly tu, sio gender based tena kama zamani. Binti anaweza kumaliza chuo na boyfriend wake yeye akaanza kuoata kazi na boyfriend wake akasota mtaani. Kwahiyo wanawake wanatakiwa ku-normalize suala la kuwa provider endapo mwanamke akiwa ndie mwenye maisha kwenye mahusiano, kama ambavyo wanaume wamefanya vizazi na vizazi
 
Maisha hubadilika na mfumo unataka watu wabadilike sikuizi uchumi umehamia kwa wanawake na tena wanawake wanamiliki mabiashara,makampuni na mataasisi makubwa ambayo wanaume wengi hawawezi pia kumbuka sisi wanaume ndio tumewapa fulsa wanawake kwaiyo ukiona MWANAUME ANAKULA VYA MWANAMKE UJUA ANAKULA KAMISHENI ILIYOTOKA kwenye mfumo dume kwenda jike pia wanawake wanaolea wanaume nikam wanatoa shukran kwa mfumo dume

Umewaza nje ya box mzee mwenzangu. Mahakama zinawalinda wanawake, sheria ya ndoa inamlinda zaidi mwanamke, mifumo imesukwa kumwinua mwanamke, ustawi wa jamii anatetewa mwanamke, hata zinazoitwa taasisi za kutetea haki za watoto zinaweka nguvu kubwa kwa mtoto wa kike, bungeni kuna viti maalumu kwa ajiri ya wanawake. Mbaya zaidi mwanaume alietengwa ndio anabebeshwa wajibu mkubwa zaidi. Favouratism zote hizo kwa mwanamke halafu tunajifanya kushangaa wanawake waki-take over.
 
1.Uvivu
2.Maisha huenda yamebadika mwanaume amepitia msoto
3.Toka mwanzo mwanaume alikuwa hana kitu dada alimpenda tu.
4.Changamoto ya afya ya akili (Kuna bwana alikuwa lecture akafukuzwa kazi shida sijui ilikuwa nini, akazira kufanya kazi nyingine 10+ years mkewe anaendesha familia.
5. Watoto wa mama wenyewe hawa hupenda tu kulelewa.

Women have been providers for ages wala sio jambo jipya.
Wewe nakuunga mkono...Ukiona mama anailisha familia ipo sababu huyo mwanaume anapaswa kushikwa mkono na jumuiya ya wanaume wenzie sio kukemewa/vijembe nk
Nimewahi kuona saidia fundi tu yenyewe unahitaji connection
Maeneo kama ya mijini kimaskhara unaweza jikuta kazi zipo ila wewe huna...
Kimya kimya makamanda tungekuwa tunashikana mikono leo kusingekuwa na haya maneno
 
Hayo ni matokeo ya usawa wa kijinsia tuliousimika kwenye jamii. Zamani mwanamke akupewa fursa yoyote kwahiyo ikajulikana fursa na uchumi unashikiliwa na wanaume, ndio maana mwanaume akawajibika kuhudumia mwanamke

Kwa sasa tupo kwenye zama za usawa wa kijinsia. Wanawake nao wameingia kwenye mifereji ya kiuchumi kwahiyo lazima idadi ya wanaume watakaokula keki ya taifa itapungua.

Suala la kuwa na hela ni randomly tu, sio gender based tena kama zamani. Binti anaweza kumaliza chuo na boyfriend wake yeye akaanza kuoata kazi na boyfriend wake akasota mtaani. Kwahiyo wanawake wanatakiwa ku-normalize suala la kuwa provider endapo mwanamke akiwa ndie mwenye maisha kwenye mahusiano, kama ambavyo wanaume wamefanya vizazi na vizazi
Hoja yako inamashiko lakini point yangu kubwa au nifafanue mwanaume kopo sio maskini ni mtu asiyejitambua , mtu anaweza akawa hajajipata ila anajitambua
 
Wakaka wa sinza na tabata wavaa vikaptura na tatoo ndevu nyingi + ngozi laini miyeyusho sana hawa majamaa😁😁😁

Kumbe mijamaa inalelewa
 
Wanaume wengi wamekuwa wavivu sana, its either hawataki kazi au hawataki kufanya kazi "zilizo chini ya viwango vyao"

Mama aende kutafuta, alete mume ale na watoto...
 
Back
Top Bottom