Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
“Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu."Wapo wanawake wameolewa na wanaume makopo ila wanawafichia aibu wanawalisha , wanawavisha. Mwamba kitaa anadunda ila kuvaa kwake , kuishi kwake ni pesa za mwanamke na yeye anaona sawa tu .
Mfano wako ni hewa , ni baya lipi hapo nililosema , kwahiyo point yako ni kwamba hakuna matatizo wanaume kuelelewa ni sawa sioni rahisi sana kunishambulia ...Unakumbuka nilisema kama wewe ni mwanaume basi kuna tatizo mahali
Mwanaume hufikiria kwa mantiki mfano hapo ungetumia mantiki kama mwanaume usingetoa jibu la hovyo kama hilo hapo juu
Mbili mwanaume hakumbishwi kuwajibika kama ambavyo samaki hakumbushwi kuogelea ama ndege kupaa
Nina mashaka na jamii unayotokea ndugu
Mtumishi kwani tayari tumeshazifikia hizo nyakati“Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu."
— Isaya 4:1 (Biblia Takatifu)
haswaaaa!Mtumishi kwani tayari tumeshazifikia hizo nyakati
Hhhh , mwanamke ambaye bado ana soko huwa hafanyi ujinga huo ?Mpaka mwanamke anafikia hatua ya kulea kidume ni kuwa ashakua skrepa hana namna kiufupi amesha jikataa
Ni ngumu mno, japo wapo wenye uvumilivu kidogo ila ni wa mda mfupi na ni kwa kipindi cha mpito tuHhhh , mwanamke ambaye bado ana soko huwa hafanyi ujinga huo ?
unaweza kuthibitisha hoja yako?Mfano wako ni hewa , ni baya lipi hapo nililosema , kwahiyo point yako ni kwamba hakuna matatizo wanaume kuelelewa ni sawa sio
Nina dada yangu alikuwa ananisimulia changamoto za mume wake ndio kiini cha hoja hii ilipotokeaunaweza kuthibitisha hoja yako?
Swali la kwanza nimekuuliza kwanini mnalea wanaume umeishia kusema kwa sababu ya watoto
Kwanini ulikubali kuzaa na huyo mwanaume ambaye leo anakufanya umlee?
Haya turejee hapa unajuaje mwanaume analelewa na mke wake?
Binafsi hakuna mwanaume anayelelewa dunia hii...haya wewe mwenye mada yako una kazi ya kuthibitisha kama wapo na umejuaje
Wanaume inabidi tukaze sana umaskini mbaya aliimba dogo D voiceNi ngumu mno, japo wapo wenye uvumilivu kidogo ila ni wa mda mfupi na ni kwa kipindi cha mpito tu
😂😂😂 unakabia juu sana, alooohTatizo nimekupiga kwenye mshono acha kulelewa jitafute mwamba
Ndio, Ndio.Very trueee madam
maana nawashauri madogo kama hauna hela na kitega uchumu futa mapenzi kabisa , komaa.Wanaume inabidi tukaze sana umaskini mbaya aliimba dogo D voice
Indeed broski ... bila uchumi mapenzi ni magumu sanamaana nawashauri madogo kama hauna hela na kitega uchumu futa mapenzi kabisa , komaa.
Wanapatikana mkoa gani haoKuna wanawake wako vizuri sana ki uchumi mpaka anakua anaogopa baby wake asitoke wakamuiba hivyo anamficha ndani
Wapo mkuu kila mkoaWanapatikana mkoa gani hao