Hata usipofua bado utapata stress. Raha ya mahusiano kwa jinsia yetu ni kuwa na maamuzi. Sasa mfano mna kaproject kenu fundi anakuuliza mtumie material gani swala la kufanya maamuzi hapo hapo halafu wewe unamwangalia mkeo kabla ya kujibu sababu hujui ana Tsh ngapi? Si ni stress hiyo? Unapata changamoto ya afya ya akili ukiishi hivyo.Hapo lazima ufue mpaka chupi za bidada, ila ni ngumu mno mwanaume wa kiafrika kuvumilia huo unguruwe ,kuna mda tu atasanuka
Wanajua ukienda tu site unapewa deal!Utasikia saidia fundi. Hawajui kama hiyo saidia fundi yenyewe inahitaji connection.
Leo hawapo
The limits of your understanding is not the limits of reality or something like that…..Mainly in providing punani ,right?😄
Sahihi, Ila mleta mada hajafanya kitu kibaya kuwakumbusha wanaume kupambana hasa wakiwa na familia, naelewa kupambana sio kupata……Wewe nakuunga mkono...Ukiona mama anailisha familia ipo sababu huyo mwanaume anapaswa kushikwa mkono na jumuiya ya wanaume wenzie sio kukemewa/vijembe nk
Nimewahi kuona saidia fundi tu yenyewe unahitaji connection
Maeneo kama ya mijini kimaskhara unaweza jikuta kazi zipo ila wewe huna...
Kimya kimya makamanda tungekuwa tunashikana mikono leo kusingekuwa na haya maneno
Kuna wanawake genuinely hawawezi kubadilisha wanaume hapa nazungumzia generation ya zamani.Kuna watu wengi wanapenda judge maisha ambayo hawayaishi.
Japo kuna wanaume wavivu na wanawake wanaopenda kulea wanaume ila ukikuta mama anaendesha familia na anaona sawa. Lazma ujiulize ni sababu gani inawafanya waungane ikiwa mwanamke hana mapungufu ya kupata hao hardworking men
Umenielewa vibayaKuna wanawake genuinely hawawezi kubadilisha wanaume hapa nazungumzia generation ya zamani.
Kwanini mnaautomate mwanamke kumvumilia mwanaume mvivu asiyefanya kazi sababu ni kuwa hawezi pata mwanaume mwingine, Na hata kama hawezi kupata mwanaume mwingine anaweza kubaki mwenyewe single mother, i have seen a hundred times women-providers na wanaume zao wapo wana danki danki tu.
Huwa nawaambia watu, ishi maisha yako kwa urefu wa kamba yako ila si sababu ya kuhisi watu ambao hawajapiga hatua ni hopeless.Eatu wanaongea kirahisi tu. Utasikia saidia fundi. Hawajui kama hiyo saidia fundi yenyewe inahitaji connection. Hakuna fundi anaenda kifanya kazi halafu anasubiri wa kumsaidia waje. Fundi yoyote akipata kazi anawashtua vijana wake ambao tayari anawajua
Tumepitia changamoto nyingi sana umri huu...Kaka njaa Haina baunsa sema huja jaa kwenye mfumo, utaimba kilugha
Not necessarily true Bwashe. Mapenzi sio illusion, yapo bwashe hata kama we haujakutana nayo, hivyo huwezi amini ukiona mdada analea kidume 😅Mpaka mwanamke anafikia hatua ya kulea kidume ni kuwa ashakua skrepa hana namna kiufupi amesha jikataa
I wasn't arguing. Sawa nyie ni providers for ages.Niliyemjibu amenielewa na ameniunga mkono ✌🏻
You are lucky, in your society only men are providers.I wasn't arguing. Sawa nyie ni providers for ages.
Shida iko wapi, mnapenda sana kuweka pua zenu msipohusika 👎🤮Wapo wanawake wameolewa na wanaume makopo ila wanawafichia aibu wanawalisha , wanawavisha. Mwamba kitaa anadunda ila kuvaa kwake , kuishi kwake ni pesa za mwanamke na yeye anaona sawa tu .
EitherYou are lucky, in your society only men are providers.