Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana.
Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha namna gani wapo karibu au wana habari za huyo dogo. Mpaka wanachambua mahusiano yake ndani nje.
Kuna wanaosema wamesoma naye, kuna wanaosema wanaishi naye, yaani kila mtu anapambana kuonesha anamfahamu. Nikawa najiuliza mimi mbona sifahamu habari za huyo dogo?ina maana mimi ni mshamba sana au sijui mambo ya madogo wa siku hizi?
Nmeona toka juzi ni nyuzi zinamhusu huyo dogo na demu wake.kila mtu anashindana kuleta uzi.kuna wanaomuonya, wanaomsifu,wanaomwabudu,wanaomwonea huruma, wanaomsimanga basi ni tafrani. Leo nikawaza nikasema moyoni kuna tatizo la ajira Tz. Ni kubwa sana na watu wamejiajiri kwenye uchawa.
Nimeambiwa na Mtalaamu mmoja wa Afya ya akili jamaa yangu tulisoma naye Masters at the University of Calfornia. Anasema vijana wengi wa miaka hii wana UNYAFUZI WA AKILI. Na anasisitiza tusipowasaidia siku za mbeleni watakuwepo machawa na mashoga wengi sana Tanzania.
Miaka yetu sisi tunakua huwezi kaa kijiweni mna jadili mahusiano ya mwanaume mwenzenu au mwanamke. Ilikuwa ni aibu kubwa na wanaume tutakufukuza usikae tena kijiweni. Nenda KAVAE GAGULO ukakae Jikoni na wenzio.
Nimeandika ili madogo muanze kujifunza kuachana na discussions za maisha ya watu. Kuna mambo kadhaa yanaweza kukupata.
1. Mnaweza valishwa gagulo
2. Mnaweza pakwa mafuta
3. Wenzenu watawasuta
4. Mnaweza olewa.
No reform kwenu na EREction
Mjitahidi mfanye reform ama sivyo kila kitu kwenu kitakuwa ni chanzo za nguvu za kiume. Shauri yenu