Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Sibandiki mie.. na sijawahi 🤣
Hata sijui uwa zinakaaje, kucha juu ya kucha.
Nakuombea upate mwanamme anayejielewa mtatengeneza familia bora kabisa, ila ile tabia yako ya kwenda bar na clubs upunguze sasa ili usijempata wa kufanana nae.

Hapa chini ona mke aliyooa william, she is total a wife material binti mzuri na anajua kujistiri vyema kabisa.

 
Haya mambo bana, unaweza mpata wa Kanisani na akawa wenge vile vile.

Kumbe Will alishaoa? Akaacha au ikawaje?
 
Kama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful[emoji174][emoji174]


View attachment 2225510
No matter what were the reasons BUT IT IS TOO PAINFUL TO BE LEFT LIKE A TRASH......

Jamani siku chache kabla ya ndoa na kote church with all those procedures and paperworks!!!!!

Tunatiliana NUKSI jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…