Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Naunga mkono hoja bila ya kusikiliza maelezo ya William.
William ujengewe mnara wa kumbukumbu huko ukweni.
 
Sijui, ila content inaishi, na yanatokea hadi sasa, mjifunze nyie wanaume kuchagua wanawake mnaowajua in out siyo kufany jambo litakalomletea mtu depression
πŸ˜‚πŸ˜‚yaani nichumbie nifike hatua ya kuoa halafu wanakuja wadau wananipa file kuuubwa kweli kweli na ushahidi tosha nabaki nasubiri nini mkuu? Kama si depression?

Hata kama ni mimi ningeshaanua muda tu huyu mamsi ni kamanda haswa yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…