Ndio utaratibu wenu wadada ,maana tayari watu wa takwimu wanasema 57% ya wanaijitambulisha kuwa ni watoto wao sio wakwao ,wamesingiziwa.Ila bora kawahi kujua maana angelea mtoto wa mwanaume mwenzie
nzuri sana.. naona upo kwenye uzi wa majoznziNzuri Saint Ivuga ..za wewe
Unachosema ni kweli, ila inategemea na mazingira, hv upo na mke wako ikatokea mtu kamzaba kofi mkeo utafanyaje, utanyamaza ? [ huo ni mfano tu]Sorry, lakini lazima niseme tu ukweli... kupigana kisa k.. ni ushamba.
Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
Ndio wale wanaume wanaoambiwagwa na wakezao ,Ila bora kawahi kujua maana angelea mtoto wa mwanaume mwenzie
Wanaume waliobalekhe ukubwani ndio huwa mara nyingi wanababaika na vikolombwezo hivi.Wewe ni mjuvi wa mambo haya nini?. maana detail explanation hizi ni balaaaa. tuna jua wanaume wengi mitego hii huwa inawamaliza sana. Mungu niepushe nayo.
mkuu chukua chupa mbili za wine nitalipaHuyo mwanamke atumie busara tu ajirestishe in peace kwa hiari yake alicheza na maisha ya mwenzake
nina apps ukiongea inaandika. itakufaa kama ww ni mvivu wa ku typeNdio Saint Ivuga ,,wowote tu ukinigusa nachangia,,nyingine uvivu tu kuandika
Hahaa, hadi una cheat unatafuta nn hasa? An way naomba nije pm nna mazungumzo na ww kdgo [emoji4]Na kwanini aje bila kutoa taarifa.
Mimi ni mwanamke nina hisia za kujamiiana kila siku hata kama nina ujauzito.
Mbona wengi tuko kwenye mahusiano na tuna-cheat kama kawaida!
Huyo kaka ni Tomaso....yamemkuta sasa.
Yeah alienda kumjua mume mwenzie ndio alichoambulia sasaHuyo hakuna cha kusemekana wala nini, huyo huenda alipata taarifa kuwa mchumba wake ana ujauzito wa mwanaume mwingine.
Akataka awe Tomaso, matokeo ndio kama hayo.
Lakini siwezi laumu sana...huwezi jua malengo na nadhiri zao walizowekeana.
Yaani kuna mazingira yanatokea, huna budi kudanganya ili kusevu maisha yako na ya mwanao.Ndio utaratibu wenu wadada ,maana tayari watu wa takwimu wanasema 57% ya wanaijitambulisha kuwa ni watoto wao sio wakwao ,wamesingiziwa.
Hatari sana hii.
Naona unatumia Smart BombaHilo ndio tatizo la kuinvest Kwa hawa viumbe lazima ufe mapema au kupata presha Kwa karne hii
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Swadakta.Ndio wale wanaume wanaoambiwagwa na wakezao ,
"Unajisiifu,hivi kwenye familia yenu yoote kuna msomi hata mmoja ,kazi kusema mtotowangu mtotowangu huna hata haya"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji117]
sawa sawa,,nikiongea kiluga pia itaandika,,anyway napenda kusoma zaidi mara chache na comment.nina apps ukiongea inaandika. itakufaa kama ww ni mvivu wa ku type