Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Kifo cha kijinga kabisa...RIP dogo

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
Nico Ngole unamfahamu?

Mshua wao alikuwaga mwalimu pale Dar Tech....kama sijakosea.
Mshua alikuwa anatengeneza TV nyingi sana za kitaa.

TV ikiharibika ikienda kwa Mzee Ngole watoto wanakunja vidole ipone mapema waende kuangalia "Yo! MTV Raps".
 
Mm siwez kupigana na mwanaume sababu ya mwanamke.. Nkimkuta namuachia

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Mshua alikuwa anatengeneza TV nyingi sana za kitaa.

TV ikiharibika ikienda kwa Mzee Ngole watoto wanakunja vidole ipone mapema waende kuangalia "Yo! MTV Raps".
Yup....that's him.

Been to their house/ flat plenty of times.

Nakumbuka mshua wao alikuwa na ki Beetle...VW.
 
Pole sana lakini kwanini hakupiga simu kumwambia mchumba wake nakuja hasingemkuta uyo Poti

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Yup....that's him.

Been to there house/ flat plenty of times.

Nakumbuka mshua wao alikuwa na ki Beetle...VW.
Yeah. Mshua poa sana.

Huyu Bikira wa Kisukuma unampata? Dogo wa Changanyikeni nilikuwa sijamshtukia nimeondoka Bongo mdogo sana.

Sasa kwenye msiba ndiyo namshtukia.
 
Alikosea tu Fransis kwani mwenye makosa sio mwanaume aliefumaniwa Bali ni huyo mchumba ake Yani mwanamke ndie msaliti Siku zote mwanaume hana kosa kaomba mchezo kakubaliwa.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
mm nilishasemaga nikimfumania mke wangu sitohangaika na mvulana labda niwe na silaha nilishajipanga
sema manz ntapiga mpaka ajute kunikubal
jamaa kamvamia polisi jitu lina mafunz yake huko

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Inasikitisha sana iwe fundisho kwetu sote kuwa usipigane kisa mwanamke.umemfumania mwambie kwaheri life goes on

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
K nazo bhana... zimezidi kuwa tamu sana bhana...

Likitu lina sura mbaya lakini tamuuu...

Mkiongeza na mbwembwe zenu sasa... ama kweli mchukia K hanithi.

RIP shujaa wa kupigania K...


Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Tupe ukweli na uhakika !

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
i am proud of you

[emoji106]
 
Francis12 mbona sasa usiwe tuu verified user maana naona umeshajidhihirisha. Mwanzo sikuona jina juu ya uzi. Kiki imekuumbua.
Mkuu Francis Ngole amefariki...Labda wewe unamzungumzia Francis Mwingine....Hii sio kiki ni real amefariki...
 
Kumuamini mtu sana ndio kunakowaletea watu matatizo. Ukiwa na dhana ya kwamba lolote linaweza kutokea kutoka kwa mpenzi wako unakuwa ni risk taker na hata pale unapojionea ukisalitiwa na mpenzi wako akili inaona sio jambo geni kwa sababu tayari ilishalifanyia kazi hivyo unakuwa na uwezo wa kuzitawala hisia zinazoweza kukusukuma uchukue hatua ambayo inaweza kuwa kinyume na matarajio yako.
 
Mjeda hakuwahi kumwacha kuruti salama!!RIP

acha uongo
 
Mkuu Francis Ngole amefariki...Labda wewe unamzungumzia Francis Mwingine....Hii sio kiki ni real amefariki...
Mkuu hujaelewa post yangu. Namaanisha mtoa mada ndo kajiumbua kwa kuweka jina lake halisi kwenye huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…