Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Upumbavu wake!
Vifo vingine vya kujitakia.
Unapigana kisa K??
Tena K isiyo ya mkeo halali
Alazwe mahali anapostahili.Amen!

Mkuu usiseme hivo, wewe si unaongea tu kwa kuwa muda wote uko nayo. Kitu huwa na thamani kwa yule asiyekuwa nacho.
 
Ngoja akasome rock structure huko chini sana, mapenzi yanaumiza ila hatabukiwa na miaka 50 hutakosa anayekuliwaza
madamu rock structure unazifahamu?. hebu nipe dip na strike za outcrop uliyonayo karibu hapo?
 
Rubi hahaaa hi k ni shida kwa kweli mpaka watu wanauwana ila rubi tujiulize kwa nn mpaka amepigana pengine alikuwa anapewa mambo adimu jamani

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
 
Duu, hata wewe uliye na wapenzi kama timu ya mpira yatakukuta mambo

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Upumbavu wake!
Vifo vingine vya kujitakia.
Unapigana kisa K??
Tena K isiyo ya mkeo halali
Alazwe mahali anapostahili.Amen!
Huwezi kujua nani alikuwa wa kwanza kuanzisha ugomvi, pengine huyo askar aliona ameingiliwa ktk mahusiano yake that why aka react first.
NIMAWAZO YANGU TU.
 
Nilifundishwa na dady ukurudi home toa taarifaa

sent from my iPhone 6
 
PUMZIKA KWA AMANI FRANCIS SIMON NGOLLE.

Tulipenda kukuita MBENA.

Tutakukumbuka kwa mambo mengi sana,
 
Viumbe hawa basi tu Mungu yupo.

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Upumbavu wake!
Vifo vingine vya kujitakia.
Unapigana kisa K??
Tena K isiyo ya mkeo halali
Alazwe mahali anapostahili.Amen!
Naomba kupigania k yako mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa wala hakulazimisha kuwa na huyo mwanamke.Ngole Alipaswa kuwa mpole na kudeal na huyo aliyemwita mchumba wake..

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Hao ndio wanawake

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
R.I.P Shemeji yangu
Kiukweli inauma sana
Huyu nishemeji yangu kabisa mm nimeoa Dada yake

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…