Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Dawa ni kuacha uzinzi.
 
Huyu jamaa atakua alikua anajua kuwa anamegewa alikua anaenda kuhakikisha ila labda hakuhisi kwamba unaweza kufumania mnyama
Jamaa unaongea ukweli sana.

senty from my Iphone 7 using jamii forum app
 
Tujifunze wanaume. Kutoa taarifa kuwa nakuja ni muhimumno mno. Pili, kama hutatoa taarifa, ukiyakuta ya kukuta kama Francis, fyata mkia, rudi kinyumenyume, kalale guest, asubuhi panda bus rudi darisalama salama salimini. Wanawake wapo wengiiii na huyo wa sasa utakaa naye kwa machale. Ukimuua uliyemfumania, utafungwa masela wajichapie mzigo kwa fujo, ukiuawa ka huyu Francis tutakuzika, masela hao hao wajichapie mzigo mwezi ujao tu.
Hakuna faida ya kugombania mwanamke. Lile tundu ni rima la kuzimu na pia njia ya kuzalishia wapya.
 
Ushauri kuntu.

senty from my Iphone 7 using jamii forum app
 
Flora Mbasha aliudhihirishia ulimwengu wa kimapenzi tabia hasa za atokako nachelea kusema hata tabia za kabila lake...it means kila mwanamke wa huko lazima awe na mabwana wawili,mmoja wewe uliemuowa/unaetaka kumuowa wa pili wa kwao ili likizo fupi fupi akajivinjari nae.vijana mnaotafuta wake nendeni taratibu jifunzeni kutokana na matukio kama haya.

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23]

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
R.I.P. Francis

Sent from my CAT B15 using JamiiForums mobile app
 
Dawa ni kuacha uzinzi.
Lakin kwa maelezo mtoa taarifa ,huyo jamaa kaenda kumtembelea mchumba wake aliehamia huko kikazi,hebu jiulize kaacha michaluko yoote ya dar,anapoteza nauliyake kubuubwa kumbe anaemfuata ni Malaya.hata Mimi inaniuma sana hii.
 
Hata angekuwa mkeo taarifa mhimu utakuja kufa kwa presha r.i.p Francis Ngolle japo kifo umejitakia
Surprise haifai kabisa, hata kama ni mke wa ndoa, umesafiri ukamwacha nyumbani huku akijua kuwa utakaa siku tano lakini baada ya siku mbili unaahirisha na kurudi nyumbani, inatakiwa utoe taarifa mapema tena masaa ya kutosha, la sivyo eidha uue au uuliwe.
 
Inasikitisha sana, huwa mwanamke ndio ibilisi mwenyewe

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Lakin kwa maelezo mtoa taarifa ,huyo jamaa kaenda kumtembelea mchumba wake aliehamia huko kikazi,hebu jiulize kaacha michaluko yoote ya dar,anapoteza nauliyake kubuubwa kumbe anaemfuata ni Malaya.hata Mimi inaniuma sana hii.

Yeye huko Dar hapigi mambo?
 
Lakin kwa maelezo mtoa taarifa ,huyo jamaa kaenda kumtembelea mchumba wake aliehamia huko kikazi,hebu jiulize kaacha michaluko yoote ya dar,anapoteza nauliyake kubuubwa kumbe anaemfuata ni Malaya.hata Mimi inaniuma sana hii.
Uzuri wa mtu uko ndani ya macho ya mtazamaji.
Huenda walishakula kiapo cha milele.
Ila ndo hivo, kazidiwa ujanja.

Mapenzi yana nguvu zaidi ya nuclear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…