gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,375
- 7,217
Inasikitisha sana aisee,wanawake sio wakuwachukulia serious,...R.I.P francis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rip roommate wangu ,niliacha shughuli zangu zote tangu siku ya kwanza ulipofariki nikafunga safari hadi mbagala kisimani kwa daud, juzi usiku nilikwenda airport kuupokea mwili wako toka mwanza jana nimekudress mwili wako pale temeke hospitali ,nashindwa hata kuendelea...... ila jaman kwanini sababu ya kifochake inapotoshwa potoshwa sana jamani roho inaniuma sana
Poleni kwa msiba ila huyo jamaa kifo kajitakia taarifa ni muhimu hata kama mkeo bora umtaarifu unakuja usije ukafa kwa presha bure
usije ukanisababishia ban, chunga mdomo wakoPoleni kwa msiba ila huyo jamaa kifo kajitakia taarifa ni muhimu hata kama mkeo bora umtaarifu unakuja usije ukafa kwa presha bure
RIP. Tueleze wewe sababu sahihi ya kifo chake. mimi ninamjua huyu kijana kahitimi udsm 2014 degree ya geology. sasa nashangaa kifo chake cha gafla hivi.rip roommate wangu ,niliacha shughuli zangu zote tangu siku ya kwanza ulipofariki nikafunga safari hadi mbagala kisimani kwa daud, juzi usiku nilikwenda airport kuupokea mwili wako toka mwanza jana nimekudress mwili wako pale temeke hospitali ,nashindwa hata kuendelea...... ila jaman kwanini sababu ya kifochake inapotoshwa potoshwa sana jamani roho inaniuma sana
Kwanini ufunge mdomo [HASHTAG]#miss[/HASHTAG], natafuta, funguka tuuwacha nifunge mdomo
Poleni sana wafiwa
Tuliobaki tunajifunza nini kwenye ili: Inabidi kama unaenda sehemu uwe unatoa taarifa kabla maana inaonyesha jamaa kama alienda kwa surprise bila kumtaarifu mchumba wake na mwisho wake amekutana na alichokikuta.
Wazee wetu zamani walikuwa wakirudi nyumbani toka safari (Enzi hizo simu hamna) walikuwa wanawapa vijana mizigo wapeleke nyumbani huku wao wakinyuti vijiwe vya kahawa kupoteza muda ili kuepusha mafumanizi kama haya.
Inauma sana Acha tu,na ukute walikuwa wa Napenda sana...kumbe binti anamambo yake menginenimeumia! bora aje !argh!
tena huyu mwanamke hana hata wasiwasi anaongea macho makavu kama hajasababisha kifo