Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,532
R.i.p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikatai...ila wenye mawazo kama yako wako wachache sana.
Na sababu zinazofanya washindwe kufanya hivo huenda wataashindwa kueleweka na jamii.
Mtoto ana miaka 10, afu uambiwe si wako, wewe mwenyewe utashangaa, je jamii itakuchukuliaje?
Pia wengine hawataki stress kwani wameshapenda mke inatosha.
Itakuwa alishamshtukia kuwa ana mahusiano mengine, ndo kaona akahakiki kumbe ni worse zaidi mpaka kapoteza uhai wake, kusema ukweli ukiwa na principles na on top iwe love your self first ndo mwingine afuatie. Unajua binadamu wote tunapatwa na changamoto tofauti yetu inakuja tu kwenye jinsi ya kuface hizo changamoto.Ni muhimu sana kutoa taarifa unaootaka kwenda kumsalimia mpenzi/mchumba, hakuna sababu ya kushtukiza, hayo mambo tumuachie JPM.
Ukute huyo binti ni champion wa jf hasa MMU, I wonder how she feels now.
Bado watu hatujifunzi surprise ziliisha siku nyingi hata mababu zetu kipindi hicho alikuwa akifika karibu na kwake basi atatafuta kijana na kumpa mzigo aupeleke nyumbani au kama kaingia usiku bna hana hila yoyote basi huko njiani ataangusha songs za kufa mtu kwa sauti kubwa ili kunyumba wajue simba anaingia. Sasa hili la kujiaminisha hapana jamani poleni wafiwa.Kwanza mwanamke ambaye mmekutana naye ukubwani unaendeje kwake bila kumtaharifu!
Hiyo kitu siwez fanya hata siku moja!
Poleni kwa msiba.
Wanaume wachache mno wanaweza kumvumilia mwanamke aliyesex nje, na idadi hiyo inakuwa ndogo zaidi pale ambapo kuna mtoto kapatikana huko.
Sasa mtu analea watoto watano si wake, huyo mwanaume kweli yupo sawa?? Eti hutaki stress, mara jamii itakuchukuliaje! Hapo napo mtu unasema una mke.
Sent from my SM-G955FD using JamiiForums mobile app
Hiyo ni ajali sehemu ya kazi mkuuUsisahau kuna Ukosefu wa Kinga Mwilini.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
aise umeongea kitu hapo cha maana. ebu share taluma kama utaweza hawa viumbe sioDah, ndio maana hawa wanawake twapaswa kuishi nao kwa akili aisee
R.I.P Francis
mmh wana wake wasasa wala ndo kwanza wakavu na maisha yanaendasure ! hatakaa salama tena maishan mwake damu itamlilia had anaingia kaburini! kuna watu jaman wana roho kavuu!
mmh wana wake wasasa wala ndo kwanza wakavu na maisha yanaenda
Biblia inasema ,"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa...." Vingine Hutokea kwa sababu ya kupenda dhambi na kufanya uovu....hakika Mtu mwovu hatakosa adhabu.Kumfumania mwanamke na kuanza kupaniki nao ni udhaifu.
Wenzio huwa tunapotezea na maisha yanaendelea.
hata kama anapiga lakini hajafumaniwa, tatizo ni kukamatwa ukicheat...Yeye huko Dar hapigi mambo?
Mkuu wanawake siyo wa kuaminika sana , kitendo cha jamaa kuishi mbali na mpenzi wake na huku mpenzi wake akiishi peke yake kwa maana ya kujitegemea jamaa alipaswa kupiga sana hesabu zake kabla hajafika anapoishi huyo mwanamke.aise umeongea kitu hapo cha maana. ebu share taluma kama utaweza hawa viumbe sio
Wewe Ni "KE" au "ME" comment yako nimeipenda...Hasa hapo nilipo Bold...Upumbavu wake!
Vifo vingine vya kujitakia.
Unapigana kisa K??
Tena K isiyo ya mkeo halali
Alazwe mahali anapostahili.Amen!