Inauma sana na haivumiliki

What ana amazing advice, ukoo wetu ni 🔥🔥🔥 😂😆. Ila mzee Ushimen punguza Wasije turoga
 
Mimi mwenyewe hili ya kuuliza body count huwa nalifanya halafu nikijibiwa huwa naanza kumchukia wakati hata mimi nina mapito yangu mengi tu..Not fair kwa kweli.
 
Point mkuu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Dada Marcy, Mh. Waziri Mkuu wangu Mtarajiwa.
Nipo pamoja nawe katika hili unalopitia. Lakini tambua dhahabu ili inga'ae ni lazima iweze kupitia katika tanulu la moto. Tambua ya kwamba wewe ni dhahabu na una thamani kubwa sana hapa duniaini hivyo kikubwa ni moyo tu wa subira kwani waswahili walishanena ya kuwa subira yavuta kheri.

Back to my special request my Prime Minister, you're the one and only one to whom I think we can establish a strong government and become role model to others. Binadamu wanakutana katika maeneo tofauti tofauti, yumkini nasi kupitia hili likaweza kuwa chanzo cha kutufanya tuweze kuwa familia moja na hili linawezekana tu pale tukiweka Nia ya dhati na pia Kumshirikisha Mungu Baba wa Mbinguni.
Naomba niishie hapa, Wana jf pia ni mashahidi wanaona ni namna gani nimekuelewa na na-wish uwe Prime Minister wangu Ili uisimamie serikali yetu vema tutakayoiunda.

NAOMBA NIPOKEE ,NAOMBA NIFUNGULIE MILANGO.
ASANTE SANA 🙏
 
Wew single maza

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Ukiachwa hilo ni kosa lako.

Ama umemkubali mtu ambaye si sahihi tangu mwanzo. Kosa lako.

Ama mtu alikuwa sahihi mwanzo akabadilika, ukashindwa kumuacha wewe kwanza. Kosa lako.

Ama mtu sahihi, ila kakuchoka tu. Kosa lako.

Vyovyote vile hutakiwi kuachwa.

Ukiachwa usilalamike. Tafuta mwingine tu.

Kwa sababu, kuachwa ni kosa lako.

Bila kujali wewe ni mwanamke au mwanamme. Bila kujali unahudumia au unahudumiwa.

Unatakiwa kuwa na mvuto mkali sana kiasi kwamba wewe tatizo lako liwe ukiingia kwenye mahusiano watu hawataki kuachana nawe.

Yani wao ndio wawe wanalazimisha mahusiano na wewe, sio wewe unalazimisha mahusiano na wao.

Ukiachwa ujue ushazembea sehemu hapo.

Jitafute ujiongeze mwenyewe bila kutaka kumdhuru mtu.
 
🤣🤣🤣🤣 Mi nawaambiaga hao wanaume njaa msiwakubali mnaletaga ubishi wa kujifanya mnajua mapenzi..!!
Bora kulia ndani ya benz kuliko juu ya baiskeli

Comment yangu mtu asiiguse puliiiizzz 😜
 
Achana nae huyo mami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…