ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Nipo salama, sijui weweU hali gani afya yako lakini mtoto wa mama mkwe? Hujaenda hata kwenye litulujia jamani wewe?
Litulujia ndo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo salama, sijui weweU hali gani afya yako lakini mtoto wa mama mkwe? Hujaenda hata kwenye litulujia jamani wewe?
Inawezekana katika maisha yenu, ulikuwa na elements za kumsimanga kwa sababu ya umasikini wake, ulionyesha kumdharau (kwa kujua au kutokujua) na yeye akaweka mambo moyoni kwa muda mrefu, alivumilia kwa kuwa hakuwa na namna ya kuishi bila wewe, ila baada yakuona anaweza kusavaivu in your absence basi akafanya maamuzi.Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae.
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine.
Je, mwanaume wa namna hii utamfanya nini kumshusha busha kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende ukiangalia kakupotezea muda?
Inauma kwakweli
Anayetakiwa kubeba lawama za hivyo ni wale waliowatoa bikra tu, wengine wanaofuata hawatakiwi kubeba lawama kabisa maana wanakuta mlishaharibiwa kuanzia akili mpaka uchi... Wengine mnavumiliwa tu pia ila hamjui...Dada kampotezeaje muda?? You are datin me for 3yrs, umenihold. Leo mwaka wa 4 unaenda kuoa mwingine. Unasemaje na mm nmeshiriki kukupotezea muda?
Kati ya ke na me nani anaoa?Sijawai kuelewa namna gan Muda wa mwanamke huwa unapotezwa
eh awe anavumilia muda mwingine anafanya subUnampa assist kabisa?
Nenda kwa mganga mroge awe kichaaUnakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae.
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine.
Je, mwanaume wa namna hii utamfanya nini kumshusha busha kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende ukiangalia kakupotezea muda?
Inauma kwakweli
Tatizo ni mda na rSilimali mdada wa watu katumia. Tukubali kuwa inauma tena sana.Kwa nini unataka kulazimisha mapenzi?
Kwa nini unataka kumdhuru mtu kwa sababu kaamua hakupendi tena?
Wewe ni mbaya hivyo kwamba huwezi kupata mwingine?
Yani huyo peke yake ndiye alikuwa mwokozi wako dunia nzima?
Pole sana mkuuUnakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae.
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine.
Je, mwanaume wa namna hii utamfanya nini kumshusha busha kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende ukiangalia kakupotezea muda?
Inauma kwakweli
Sasa makosa kafanya yeye kutumia muda na rasilimali kwa mtu asiyestahili, halafu lawama anataka kumpa nani?
Hahaaaaaeh awe anavumilia muda mwingine anafanya sub
Shida hapo ni Ile aibu kutoka Kwa ndugu waliomkataza kuhusu huyo jamaa maana Sasa watakuwa wanamcheka.Sasa makosa kafanya yeye kutumia muda na rasilimali kwa mtu asiyestahili, halafu lawama anataka kumpa nani?
Lawama ni zake mwenyewe kwa kuchagua vibaya.
Kuuma, iueme, isiume, tatizo ni lake.
Na akikazia kuangalia maumivu, bila ya kuangalia chanzo cha maumivu, ambacho ni udhaifu wake katika uchaguzi, ataenda kuumia tena na tena na tena.
Achukue darasa, a move on.
Huu ulofa wa kutaka kumdhuru mtu kwa sababu kakuacha ni ujinga mkubwa sana. Ni kulazimisha mapenzi. Ni kukubali kwamba yeye hana mvuto.
Vizuri kama upo poa, hicho ni kitabu maalum cha mwongozo kanisani,au wewe unatumia msahafu? Msalimu mama mkwe.Nipo salama, sijui wewe
Litulujia ndo nini?
Ulichozungumza kina ukweli Kwa asilimia kubwa. Mwanamke kukusaidia bila masimangi ni mbingu na ardhi na hiking ndio chanzo kikubwa.Inawezekana katika maisha yenu, ulikuwa na elements za kumsimanga kwa sababu ya umasikini wake, ulionyesha kumdharau (kwa kujua au kutokujua) na yeye akaweka mambo moyoni kwa muda mrefu, alivumilia kwa kuwa hakuwa na namna ya kuishi bila wewe, ila baada yakuona anaweza kusavaivu in your absence basi akafanya maamuzi.
Ilinitokea mimi miaka kadhaa iliyopita, mwanamke nipo naye nikiwa sina pesa, kwa kiasi kikubwa vitu vingi alikuwa anafanya yeye ili maisha yaende.
Alikuwa anatoka kwenda kwa x wake, wakati wowote akijisikia, siku moja nilimuuliza "why are you doing this? ni kwa sababu una-cover up hizi expenses?" Alinijibu "Hujanioa, hela huna then unabwabwaja tu hapa, kama unaniona Malaya kwa kuwasiliana/kumtembelea x, then you can go kwa atakayekuheshimu na ufukara wako, badala unishukuru nakusitiri hapa, unanipigia kelele"
Hii iliniuma mno, nikanywea, kwa miaka 3 baadaye, nikiwa nipo nayeye, nilipata kazi mahali pazuri tu, niliondoka kimya kimya, alinilaani sana na kunitamkia mambo magumu, lakini sikurudi nyuma... Mpaka leo namuangaliaga you tu!
Ahsante sana R, haikuwa dhamira yangu kabisa kukuacha, ila ulinibadilisha wewe mwenyeweee!
Ndo kwanza nakisikia mimi natumia Bible, Kitabu cha Tenzi na kitabu cha wokovu.Vizuri kama upo poa, hicho ni kitabu maalum cha mwongozo kanisani,au wewe unatumia msahafu? Msalimu mama mkwe.
Kuishi kwa kuangalia sana watu wengine wanasemaje nalo ni tatizo.Shida hapo ni Ile aibu kutoka Kwa ndugu waliomkataza kuhusu huyo jamaa maana Sasa watakuwa wanamcheka.
Ushauri Kwa wanawake, ikitokea ukaamua kuwa na hohehahe jitahidi kumfichia Siri Kwa ndugu zako kuepuka yaliyomkuta mleta Uzi
Oooh sawa,hicho nacho kipo.Ndo kwanza nakisikia mimi natumia Bible, Kitabu cha Tenzi na kitabu cha wokovu.
Wewe ni mume wa dada angu?
Mimi nina dada mmoja na ameolewaOooh sawa,hicho nacho kipo.
Dada yako yupi?
Hivi mkuu hizi raba ndo shughuli zako? Naona kaliNdo kwanza nakisikia mimi natumia Bible, Kitabu cha Tenzi na kitabu cha wokovu.
Wewe ni mume wa dada angu?
Hapana mkuu!Hivi mkuu hizi raba ndo shughuli zako? Naona kali