Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
Umekaa umevumilia nini peleka upuuzi kule we una uhakika gani kama na yeye alikuvumilia na umasikini wa kutokea kwenu ambao ulizidisha umasikini kwake zaidi... Gender ya ajabu sana nyie, Yaani hamuaminigi kama na ninyi ni masikini bali mnaonaga tu kwamba maskini ni mwanaume ulienae, Grow up ujitafute maana hata wanaume waliojipata sikuhizi wanataka pisi zilizojipata