Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
mloge mtie uhanithi tu god will understand
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akimwachia Mungu hatafanikisha Mungu amekataza uzinziMy dear, mwachie Mungu. Mungu ndiye mwamuzi wa haki.
Hayo mengine achana nayo.
Akimwachia Mungu hatafanulikisha Mungu amekataza uzinzi
yeye amloge tu gods will understand
Inaweza ikawa kweli alikua anatoa kauli za kishujaaSanaaaa,tena akiweza amtafute mwenye comment hiyo private atajifunza mengi sana.Jamaa kaweka wazi na katoa siri za jeshi za sisi wanaume.
Ni kweli uyasemayo,hatuwezi kujaji upande wa dada Marcy tu,pengine jamaa alikuwa ndo wale utanitambua nikijipata!Inaweza ikawa kweli alikua anatoa kauli za kishujaa
Inaweza ikawa alikua hatoi kauli za kishujaa zaidi ya upendo wa kweli
Yote yanawezekana! Ila dunia ya sasa unaweza kua mwema na matukio ukapigwa hadi ukasarenda...
Tukizaa watoto tuwakumbushe mapenzi ya kweli utayapata kwa mama ako mzazi ili wakipigwa matukio wasianze kulialia ila Wasimame na kusonga mbele tena.
Extrovert
Itaniuma lakini ndio ishatokeaHaitakuuma sana kama mleta mada?
Bora uwe na mimi tu, achana nae huyo.Itaniuma lakini ndio ishatokea
🤣🤣🤣Kwani alikuomba umvumilie ama ulijipendekeza kumvumilia?
Hakunaga busha la kutumwa. Pambana na hali yako.
Unaweza kuta Mungu nae anashangaa tunamuhusisha vitu too insignificant...Mwachie Mungu tu
Ikiwa uliyafanya yote haya ukiwa haumiliki cheti cha ndoa wewe ni bwege.Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae.
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine.
Je, mwanaume wa namna hii utamfanya nini kumshusha busha kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende ukiangalia kakupotezea muda?
Inauma kwakweli
Ndoa sio uvumilivu, ndoa ni baraka. Uvumilivu jela tuSasa tusemeje jamani [emoji1751]