Inauma sana na haivumiliki

Inauma sana na haivumiliki

Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini

umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae.

hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine.

Je, mwanaume wa namna hii utamfanya nini kumshusha busha kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende ukiangalia kakupotezea muda?

Inauma

Inauma kwakweli
 
itakuwa ulikuwa unamsimanga, unamkejeli, na kumdharau wakati hana kitu.
 
Wahenga wanasema Kila mwanaume mwenye mafanikio ujue nyuma yake Kuna mwanamke.

Shida ni kujua je ni mwanamke gani yupo nyuma ya ayo mafanikio anyway pole sana Mkuu uwende umefanyika daraja ivyo kazi yako imeisha tafuta mwingine ambaye atakuwa daraja kwako
Hiyo kauli huwa unaitafsiri vibaya. kati ya mwanamke na mafanikio, kipi kinaanza?
 
Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini

umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae.

hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine.

Je, mwanaume wa namna hii utamfanya nini kumshusha busha kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende ukiangalia kakupotezea muda?

Inauma kwakweli
Dada mkubwa njoo kwangu Wala hutajuta. Njoo uwe waziri Mkuu wangu.
Tuweke utani pembeni, nakuomba uje kwangu tufanye maisha pamoja na utasahau mapito yote.
KARIBU WAZIRI MKUU WANGU🙏
 
Mwanamke anaposema anamvumilia mwanaume anakuwa anamaanisha nini?

Kuna utoto mwingi katika falsafa za MAISHA kwa wanawake wakibongo

Unamvumiliaje MTU unamdai ? Au ulimkopesha ?

Mwanaume huwezi kumvumilia hizo ni kauli za kitoto ambazo hazina uhalisia

Tukija katika jambo lako unabidi kujua na kuelewa kuwa Mwanaume anapokuwa broke anakuwa anakuvumilia wewe na sio wewe kumvumilia yeye

That's why alivyojipata uvumilivu wa kuwa na mke mmoja umemshinda achilia mbali kukuoa.

So fungueni akili na sio mapaja
[emoji122][emoji122]makini sana.
 
Dada kampotezeaje muda?? You are datin me for 3yrs, umenihold. Leo mwaka wa 4 unaenda kuoa mwingine. Unasemaje na mm nmeshiriki kukupotezea muda?
Mnapoanza kuharibu ni hapa
Unakuta kipindi jamaa anakutongoza... Unaanza kumwambia namba yangu kakupa nani? Jamaa anaanza kujitetea lkn humuelewi
Simu yake hupokei, muda mwingine unapokea unamwambia upo bize humtafuti....
Jamaa anakomaa anatuma meseji lakini unajibu kwa kifupi tu. Jamaa anakomaa mpaka miezi 3 ndiyo unamkubali kipindi hicho jamaa ameshakata tamaa hata ule upendo kwako umeisha. Jamaa anasema huyu, mwache tu atakutana na kitu kizito.
Wewe upendo umekolea jamaa anakuchukulia poa tu, sasa akishika na hela anaona ndiyo muda wa kumpiga nyundo huyu aliyekuwa ananisumbua.
 
Back
Top Bottom