Inauma sana na haivumiliki

Karibu kila mwanamke ana hadithi ya kupotezewa muda na mwanaume katika kipindi chake cha usichana; na kisha kutemwa. Jambo hili huwa linanishangaza sana!
🤣 🤣
Alafu wakikutana na watu wa maana wanaanza kuwaambia wasahau yaliyopita, waangalie mbele...

Mimi mwanamke akianza kunihadithia tu Maisha yake na jamaa yake hata kama Miaka 20 nyumba, upendo unaisha
 
Si mnagawana mali au? Maana mmetafuta pamoja.
 
Wewe mchango wako kwenye mafanikio yake ni upi hasa? Unajua mara nyingi sana unaweza ukafikiria una mchango kwa mtu lakin sio kweli ni imagination zako na simtetei huyo mwanaume labda ni mtu mmbaya kweli ila most likely hajafanikiwa because of you inawezekana amefanikiwa inspite of you.

Mwanaume anapambana wewe ni mke wake, uko nyumbani uaamini kumwambia shida zako na matumiz yako ndio kumsapoti ila sio, au uaamin akija ukapika na kumpa K anatakiwa afurahie na huo ndo mchango wako kwake? Hawez kupata mwanamke mwngine wakufua, kutomba au kulala naye?,

Huwez kusema umemvumilia m2 kwenye mahusiano, kama una option nzuri zaid you better take it, kama umeamua kukaa na mtu kwa hali yake yoyote umeamua wewe na sio ki2 unatakiwa kushukuriwa au kuwa kitu cha kukufanya uwe special.

Ishu ya kuvumilia hata yeye amevumilia kwa sababu ameacha wengine mwanzo akakuweka wewe ndan.

Inawezekana ameenda kwa mwanamke aliyemfanya afike hapo alipo na wewe ulikua kisirani unayemsababisha maisha yake yazidi kuwa ya stress alikuvumilia na ameona heri aende zake...

Siku zote unabid uone kwa upande wa m2 mwingine...huweza ikawa wewe hukua na mchango wowote kwake na hicho unachodhan unakitoa hakiendani na anachokitaka. Usipojua hilo inawezekana mwingine tena akaanza kama huyo na akaishia kama huyo..

Think, jicritisize mwenyewe utapata solution
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…