Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Utoto mwingi
Huyo
Huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣Karibu kila mwanamke ana hadithi ya kupotezewa muda na mwanaume katika kipindi chake cha usichana; na kisha kutemwa. Jambo hili huwa linanishangaza sana!
Alikua anaona raha kuukalia wewe unafanya mchezo na kupigwa mkuyege niniKama ilivyo mwanamke wanasema hasomeshwi
Na mimi naona ni bora ajitafute na yeye kwanza
Bado wewKabisa. Nina laki 1,mwanaume anatakiwa kuwa na 2 au zaidi. Tofauti na hapo ni wachache sana wana remain the same, wengi ni matukio tu kama ya mtoa mada.
Sijawai kuelewa namna gan Muda wa mwanamke huwa unapotezwaKaribu kila mwanamke ana hadithi ya "kupotezewa muda" na mwanaume akiwa katika kilele cha usichana wake; na kisha kutemwa. Jambo hili huwa linanishangaza sana!
Si mnagawana mali au? Maana mmetafuta pamoja.Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae.
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine.
Je, mwanaume wa namna hii utamfanya nini kumshusha busha kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende ukiangalia kakupotezea muda?
Inauma kwakweli
We inaonekana huna kifua 😁Mimi mwanamke akianza kunidithia tu Maisha yake na jamaa yake hata kama Miaka 20 nyumba, upendo ununaisha
Sijui kwaniniKaribu kila mwanamke ana hadithi ya "kupotezewa muda" na mwanaume akiwa katika kilele cha usichana wake; na kisha kutemwa. Jambo hili huwa linanishangaza sana!
Kweli?My dear, mwachie Mungu. Mungu ndiye mwamuzi wa haki.
Hayo mengine achana nayo.
HAPANA MIMI NI YUDA MTOTO WA YAKOBO SIO ISKALIOTISasa we nae Yuda Legacy si ni msaliti tu kama bwana ake mleta mada
Umeanza, utapotezewa muda.Sijui kwanini
Ila nimekumiss
Wewe mchango wako kwenye mafanikio yake ni upi hasa? Unajua mara nyingi sana unaweza ukafikiria una mchango kwa mtu lakin sio kweli ni imagination zako na simtetei huyo mwanaume labda ni mtu mmbaya kweli ila most likely hajafanikiwa because of you inawezekana amefanikiwa inspite of you.Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo
mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja
dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna
unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae
shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine
je mwanaume wa namna hii utamfanya nin
kumshusha busha
kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende
ukiangalia kakupotezea muda inauma kwakweli
Nikipotezewa muda si basiUmeanza, utapotezewa muda.
Muone!
Mie pia nimekumisi Jojo ❤️
HAPANA MIMI NI YUDA MTOTO WA YAKOBO SIO ISKALIOTI
YUDA NI UKOO WA YESU NI JINA KUBWA SANA
YUDA NI JINA LENYE BARAKA SANA MAANA YAKE SIFA-KUSIFU
Mkuyenge kukiwa na stress za ela hata haunogiAlikua anaona raha kuukalia wewe unafanya mchezo na kupigwa mkuyege nini