Inauma sana na haivumiliki

ni kweli inauma ila ongea nae na ukishindwa shirikisha,ndugu zake,viongozi wa dini mpaka upate suluhu
 
🤣🤣🤣 si uliwaona ndugu zako ni chawa, wewe ulikuwa dekio
 
Dada kaa chini tulia mwachie Mungu atakupa wa aina yako. Kiwaza kumzuru ni wewe unafunga neema yako ya kupata aliye bora zaidi.

Leo wewe unawaza kumtendea ubaya huyo hebu jiulize wanaume wangapi wameumizwa na wanawake na wakaacha mambo yaende.
 
Marcy usiloandikiwa hata ukilazimisha si lako. Piga moyo konde simama imara utampata tu atakayefuta machozi yako na kukurudishia furaha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…