Inauma sana na haivumiliki

Jifunze kushukuru Gratitude na ujitahidi kujifunza kutoishi na kinyongo

Then wewe unaonekana ni MTU mjinga ambaye hauna Emotional intelligence

Jifunze kuwa positive

Huwezi kumvumilia mwanaume hizo kauli za watu wajinga unabidi kujua mwanaume ambaye hana pesa ndo anamvumilia mwanamke maana yeye anaweza kusimama bila wewe.


Leo unawaza kuua , kutesa , kisa mapenzi MTU ambaye haujamzaa wewe Ila mmekutana ukubwani it hell
 
Una hoja na inabidi usikilizwe.

Binti anayejielewa hawezi kukupa mpaka details za jinsi sex life na ma ex zake ilivyokuwa maana kisaikolojia hiyo ni mbaya sana kwa mwanaume. Kuna vitu utaambiwa hutakaa uvisahau kamwe!

Na sijui ni kiranga gani huwa kinatufanya sisi wanaume tuanze kuulizia body count ya wapenzi wetu wapya wakati tunajua kabisa kuwa hata tukiambiwa ni mmoja tu itatukera maana huyo kenge ndiye atakuwa mtoa bikra huyo....

Mimi nilishakoma kuulizia na hata akijitolea kuniambia namkataza maana kusema kweli hayanihusu; na najua tu kuwa hatasema ukweli!

We meet. We start fresh. Uliolewa ndoa bubu huko chuoni. Ulikuwa unajiuza mitandaoni au mabarabarani huko. Ulishawahi kutoa mimba. Ulikuwa muuza baa. Una body count 70+...hayo hayanihusu (labda tu ukiwa kwenye gridi ya taifa!)

Ndivyo inavyotakiwa!
 
💯
 
Hakuna njia ya kuthibitisha kwamba 'mwanaume sahihi' amefika

Waache mabinti wajivinjari
 
Pole kwa yaliyokukuta ndio Walimwengu walivyo
 
Pole sana
 
Usiwe mwepesi sana kuhukumu, Jaribu kujitathimini na wewe ni wapi ulipokosea, lakini vilevile utambue wewe kumzidi mwenzio kipato haikufanyi uweze kumiliki akili yake na namna ya kufikiri na kufanya maamuzi, kwa harakaharaka unaonekana ni mwanamke mbinafsi na huenda umemsimanga sana kutokana na hali yake ya kipato kuwa chini, na kati ya mambo ambayo wanaume yanatushinda ni kusimangwa, mwanamke anaweza kuvumilia masimango ila siyo kwa mwanaume mwenye akili timamu, mwanaume ni afadhali akazoe hata takataka kuliko kupewa senti yenye masimango.
 
Dear!

Njoo kwangu nikutibu vidonda!!
Pole ,Bado tupo mbona!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…