Hilo ndio linakwenda kutokea maana bunge lote sasa ni lakwaoBaada ya hapo Magufuli atatangazwa na Bunge kuongezewa kutawala hadi achoke!
Wana CCM wataandamana nchi nzima kuwa kwa kuwa upinzani umekufa wacha aendelee
Haya na maisha yaendelee. Hope mishahara itapanda, Ajira zitakuwepo sasa na Tanzania yetu itakuwa kama Ulaya sasa. Maana wale waliotukwamisha since Uhuru rasmi tumewatoa jana kwenye sanduku la kura
Hahhahaa nae chiniJay atapita tu hana madhara
Sijabadili maudhui ya ushiriki wangu kwenye jukwaa letu hili la JF. Kamwe mimi katu sitomjadili mtu wala matukio. Ni hoja, hoja, hoja kwa kwenda mbele na mwanzo mwisho.Unahalalisha wizi wa kura? Kwahiyo uongozi unapewa na viongozi wa serikali sio wananchi?
Nakuonaga ww ni great thinker kuliko Pro-CCM wenzio, ssa argument ya aina gani hii?
Chadema was Act wanaweza wakose kabisaYaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.
Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia😡😡😡
Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
Sijabadili maudhui ya ushiriki wangu kwenye jukwaa letu hili la JF. Kamwe mimi katu sitomjadili mtu wala matukio. Ni hoja, hoja, hoja kwa kwenda mbele na mwanzo mwisho.Unahalalisha wizi wa kura? Kwahiyo uongozi unapewa na viongozi wa serikali sio wananchi?
Nakuonaga ww ni great thinker kuliko Pro-CCM wenzio, ssa argument ya aina gani hii?
Mhhh Hilo halitatokea hata kabla ya uchaguzi mlidai hivyo ni kazi ngumu kuuoncoa mioyoni mwa watuKufikia 2020 upinzani wote utakuwa umefutika. Nadhani sasa mnajua maana halisi ya kufutika.
Kila mara tunawaambia hawataki kuelewaWenzenu CCM walipiga kampeni za shuka kwa shuka, kitanda kwa kitanda. Nyie mkabaki kupiga kampeni hapa JF ndio matunda hayo.
Unajua kuna wanaburudisha sana..[emoji23][emoji23][emoji23] chadema huwa ni malimbukeni haijawahi tokea
Mkuu kuwapawapa viti wakajiona saanaaaa! It was a big mistakeBinadamu ana kawaida ya kudharau mambo mengi. Unaweza kufanya kosa moja tu mara moja, likakugharimu maisha yako yote.
CCM walifanya kosa mwaka 2015, sasa hakuna anayejua litaligharimu Taifa kwa miaka mingapi.
Ukimpa mwerevu panga, unaweza ukalidai akakurudishia panga lako. Lakini ukikosea ukampa panga kichaa, ukaenda kulidai, utakuwa na bahati kama ukirudi salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwananchi hajali nani anatawala ..as long as Maendeleo yanaonekana. Kila mkitoa mifano mnataja Magharibi vipi kuhusu Uchina wanawapinzani wangapi bungeni!?Uchaguz kama bongo fleva tu..bila promo ngumu kutoboa...ccm walikua na promo ya tembo wenzao promo ya sisimiz..so itakua wameshinda kweli
Lakin cha kujiuliza..wa tz tunaelewa maana na faida ya vyama vya upinzani nchini?...mim ni ccm ....kwa raisi naunga mkono 100%
Ila kwa wawakilishi..Mps...hapana...totaly wrong kuwa na bunge zima chama kimoja..ni hatar kwa taifa.....tho naamini mzee baba atawaonyosha hata hao wabunge wa chama chake
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.
Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia😡😡😡
Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
Ndio maana tunasema tunaongozwa na watuwasio na akili kabisa!Kwani kwenye nchi yanaishi mapapai tu....nchi inaundwa na wananchi kama sisi
Na bado! Haya ni matokeo tu, machungu mengi kwenye miaka mingine mitano yanakuja. Lissu kajaribu, zaidi ya hapo hakuna mwingine wa kutusaidia. Mateso yanakuja, kama raia hatutasimama na kusema hapana ndio hivyo mjue tumekwenda na maji. Nimeumia sana.
Yani huku mtaani hakuna hata furaha,nyuso za watu zinahuzuni kwelikweli.Kumekucha Sasa Hivi
Tembeeni Kifua Mbele
Tupo Kwenye Light Track
Mabeberu Haya
Ccm Wenyewe Wamekosa Amani, Mpaka Sasa Hivi
Sheria Ya Vyama Vingi Ifutwe
Kushinda kihalali. Hivyo ushindi huu sio halali!Ni watu wenye tamaa mnoo.Walishindwa hata kujifunza kilicho tokea kwenye uchaguzi wa serikali ya mitaa mwaka Jana..pia Nature ya Rais aliyepo ni tofauti mnoo na Kikwete ambaye angalau aliweka mazingira mazuri upande wa ubunge kushinda kihalali.