Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
We kipo kitu kabisa na Jiwe ndo rais wako penda usipendeNdio maana tunasema tunaongozwa na watuwasio na akili kabisa!
Sijasema kuundwa, sijui wananchi...nimesema "nchi"!
Kweli wewe mfuasi wa Jiwe, hamna kitu kabisa
Kitaani kwetu kuna bonge la pareYani huku mtaani hakuna hata furaha,nyuso za watu zinahuzuni kwelikweli.
Ninachojiuliza kuna kituo hapa wapiga kura hawakufika 300,ila matokeo yametoka eti ccm ineshinda kura 357.
Nafahamu kuwa ndiye yeyeWe kipo kitu kabisa na Jiwe ndo rais wako penda usipende
Mbavu zangu, ile hizi taarifa tuliwapa kabisa mapemaWaliΓ§hofanya CCM ni kuboresha walichofanya mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa!
Nimuulize Hivi Yule Mama Wa Ccm Kule Mtwara Kawakosea Nini Mpaka Jimbo Linakwenda Kwa CUFYani huku mtaani hakuna hata furaha,nyuso za watu zinahuzuni kwelikweli.
Ninachojiuliza kuna kituo hapa wapiga kura hawakufika 300,ila matokeo yametoka eti ccm ineshinda kura 357.
Hii Aibu Yao Wenyewe CcmCCM wameamua kukomba kila kitu.
Upinzani Haiwezi KufaUpinzani kufutika? Haitakuja kutokea mkuu..
Kweli?Hahhahaa nae chini
Nasikia ni hivyoKweli?
...pole mrembo..πππRoho inaniuma kupita kiasi, nasikia maumivu makali sana kwa kinachoendelea.
Mungu baba nisaidie [emoji24]
Na bado, unaweza kufa na tulimwambia Bob Amsterdam asituletee ujinga na kibaraka wake
Punguza povu
Jifunze kuchambua mambo, kuchochea vijana na kuwapa hamasa ya kuwa wasagaji au mashoga sio sawa.
Tofautisha kati ya wale homosexual kwa kuzaliwa na hawa aliotaka kuanza kuzalisha Tundu
Ukweli mnaujua ila mnajitoa ufahamu
Mfyuuuuu
Tena huyu Ghasia nahisi Magu alimrudisha akijua hatashinda. Alikuwa bogus tu kama yule Saada Mkuza wa Zanzibar.Ni kama waombaji wengi hawakua na sifa, NEC wasingerudisha jina lake. Pumzika sasa bimkubwa
Heri angegombea mbowe mwenyewe maana alichokifanya Tundu ni sawa alikuta chama kinapumulia mashine yeye akakikatia kabisa na kukiingiza kaburiniTuliwapa taarifa mapema mwaka huu hampati ata wabunge wawili wakaanza mdomo, sasa heshima itarudi,
Hawana adabu hawa wapinzani wametutukana sana hawa, acha waisome namba.Heri angegombea mbowe mwenyewe maana alichokifanya Tundu ni sawa alikuta chama kinapumulia mashine yeye akakikatia kabisa na kukiingiza kaburini
Nadhani hili litakua fundisho kwa wapinzani wa vizazi vijavyo
Ushawahi kumsikia akiongea? Binafsi nilikuwa simpendi, alikuwa na nyodo fulani kana kwamba amefika pale kwa juhudi zake, wakati alibebwa na JK. Akajiajiri tu. Na sidhai kama Magu atampa uteuzi wowote ule maana alimleteaga Spika nyodo bungeni, akaambiwa ajiuzuru uenyekiti wa kamati ya Bajeti ya Bunge 2018. Magu hapendagi jeuri, maana yeye mwenyewe anazo zakutosha.Huyo mama cjui ana nuksi gani, arusha mjini hvy hvy alipigwa za uso