Inauma sana, nimeona picha za mpenzi wangu akiwa na mwanaume wake wa zamani kimahaba


Ha ha ha.ukichapiwa Tafuta mnyonge nae umchapie mkuu nimekupatraaaaaaa.
 
Wanamume majasiri tunazidi kupungua.Weye picha tu umeianzishia thread je ungekuta kakunjwa kama samaki wa kwenye senti tano?
 
Pole sana.... Kama unamatarajio ya kuoa kaza moyo but kama sio basii let goooo..!
 
Umeona picha unapaniki hivyo je ungemkuta analiwa ungefanyaje
 
Usiachane nae.
Mpe last warning.
Mwambie kuwa unaumia ukiona picha akiwa na bwana wake wa zamani.azichome moto maana unaumia ukimuona aliekuwa mume mwenzako.

Note
Hupo peke yako hata mm ingeniumiza sana.

Ahsante sana kaka kwa ushauri wako najua hao wengine hawajawahi kuwatokea ndo maana wanaropoka pasipo kuelewa lakini siku yakiwafika utaona thread kibao
 
:llama:id tu inaonesha mtoto mdogo, mi sishauri watoto kwenye mambo ya mapenzi, napita ivi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,>
 

Rudi shule kapige kitabu
 

Acha wivu,mimi nimezoea mkuu.mbaya zaidi amenitia kwenye madeni sana maana nilitaka kumfurahisha kumbe mbwa mwitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…