Unbelievable
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 262
- 115
Wee unapagawa kuona picha. . . Watu wamewakuta live live wanagegedwa na wamekomaa nao hadi na ndoa wmefunga.
Komaa kijana!
Hii yako ngumu kumesa mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee unapagawa kuona picha. . . Watu wamewakuta live live wanagegedwa na wamekomaa nao hadi na ndoa wmefunga.
Komaa kijana!
Mpenzi wangu mtoto sana miaka 18 ila nilipomuuliza kama alikuwa virgin akaniambia alishawahi kuchapwa mara moja tu na mpenzi wake wa zamani lakini sikulitilia maanani bora tu hivi sasa yupo na mimi..aliponiuliza mimi ikiwa nimeshawahi jaribu nikamwambia bado hata kiss yenyewe siijui inakaa vipi lakini ukweli nimeichapa ya X wangu mara nyingi hata haihesabiki na bado tunakutana na kucheat wapenzi wetu bora text turushiane..maisha ndivyo yalivyo kaka ukichapiwa na wewe nenda kachape tu
Tukusaidie kuwaachanisha?
Hahahaaaa pole,hii ndo jf bwana.Dah hii kuna watu huku ni pasua kichwa
Sio smartphone picha kabsa Kwenye album
Usiachane nae.
Mpe last warning.
Mwambie kuwa unaumia ukiona picha akiwa na bwana wake wa zamani.azichome moto maana unaumia ukimuona aliekuwa mume mwenzako.
Note
Hupo peke yako hata mm ingeniumiza sana.
Mpenzi wangu nampenda sana ila hili limenifanya nishushe upendo wangu kwake na kutomuamini japo alinambia waliachana. Nimeona picha zake wakiwa na boyfriend wake wa zamani huku wamekaa kimahaba imeniuma sana.
Mapigo ya moyo yameenda mbio kuliko kawaida ila nikapiga moyo konde huku nikuwa na mawazo lukuki akilini baadhi ya mawazo ninayoyafiria ni kuachana nae.
Nifanyaje kwa hili wana JF maana nahisi kama bado wako pamoja kwa kutunza picha za mwanaume wake wa zamani.