Mtu anakuja kwako anaonesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, nguvu zako, connection zako, n.k.
Yawezekana haupo vizuri kifedha inabidi ukope, umebanwa na ratiba lakini unazivuruga kwajili yake, connection unazo lakini hadi zinyenyekewe kwa kujishusha, n.k. unaamua kujitoa umsaidie hivyo hivyo tu.
Haya ushampa msaada,
Kapiga kimya, hata kusema kapokea msaada hakuna, unaingia na wasiwasi labda wezi wameiba njiani.
Anakwambia alishasaidiwa, unakaa chini ukitafakari kwanini kakuchosha muda wote huo
Anakwambia atautumia baadae au siku nyingine, ni kama shida zilikuwa hazijambana