π€π€π€π€π€Kuna mawili mwambie ukweli au nawe piga kimyaGood evening.. Am kindly asking if there is any piece work do to am now available.
Hiyo ni message nilitumiwa juzi na binti niliyamtafuta 30th April ili nimpe kazi ya kuuza duka. Nakumbuka hiyo tulikubaliana tuonane siku inayofuata ili kukubaliana lakini hakutokea. Na hata nilipokutana nae barabarani hakusema lolote. Ikabidi nitafute mtu mwingine. Sasa ndo juzi katuma hiyo msg.
Wala sikatai lakini wema unaotoa hakikisha unautoa kwa tahadhari
ni dhahiri hata huna mtoto, upo stage ambayo kumgharamia mwanamke ndio jukumu pekee unalo.Mpende mwanamke anayekupenda, hutaona hizo pigo
Most likely alipata mwanaume aliempa jeuri kumpa hela za chips mayai na bando kila siku, kashatumika kaachwa na pesa zimekauka.Good evening.. Am kindly asking if there is any piece work do to am now available.
Hiyo ni message nilitumiwa juzi na binti niliyamtafuta 30th April ili nimpe kazi ya kuuza duka. Nakumbuka hiyo tulikubaliana tuonane siku inayofuata ili kukubaliana lakini hakutokea. Na hata nilipokutana nae barabarani hakusema lolote. Ikabidi nitafute mtu mwingine. Sasa ndo juzi katuma hiyo msg.
Mkuu ulikuwa unaulia timing msaada wako upate mbususu au? πππ! Maana wenye majibu kichefuchefu ni wadada! Mdada mpe msaada kwa mfumo wa sadaka maana ukiufuatilia utapata majibu ya shombo! Kwamfano hawa manzi anaweza kuwa na shida ya 1m. Mtu wake kampa laki 9.5 kasoro elfu 50. Akaja kwako analia ukampa hiyo 50! Baaada ya hapo sepa hamna hata "asante"Mtu anakuja kwako anaonesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, nguvu zako, connection zako, n.k.
Yawezekana haupo vizuri kifedha inabidi ukope, umebanwa na ratiba lakini unazivuruga kwajili yake, connection unazo lakini hadi zinyenyekewe kwa kujishusha, n.k. unaamua kujitoa umsaidie hivyo hivyo tu.
Haya ushampa msaada,
Kapiga kimya, hata kusema kapokea msaada hakuna, unaingia na wasiwasi labda wezi wameiba njiani.
Anakwambia alishasaidiwa, unakaa chini ukitafakari kwanini kakuchosha muda wote huo
Anakwambia atautumia baadae au siku nyingine, ni kama shida zilikuwa hazijambana
Anza na mfano mdogo kutoka kwako mwenyewe!Mtu anakuja kwako anaonesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, nguvu zako, connection zako, n.k.
Yawezekana haupo vizuri kifedha inabidi ukope, umebanwa na ratiba lakini unazivuruga kwajili yake, connection unazo lakini hadi zinyenyekewe kwa kujishusha, n.k. unaamua kujitoa umsaidie hivyo hivyo tu.
Haya ushampa msaada,
Kapiga kimya, hata kusema kapokea msaada hakuna, unaingia na wasiwasi labda wezi wameiba njiani.
Anakwambia alishasaidiwa, unakaa chini ukitafakari kwanini kakuchosha muda wote huo
Anakwambia atautumia baadae au siku nyingine, ni kama shida zilikuwa hazijambana
Inasikitisha sana...
Hatari sana