Inawezekana kosa la Kakoko ni kuzuia mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Katika akili ya kawaida,unawezaje kubeba wanyama kutoka mbugan unawapeleka kwenu chato eti kutengeneza mbuga nyingine Ili kuvutia watalii,coz umeshanunua dreamliners,umeshaanzisha route ya chato,ss unataka kuforce utalii,jamaa alikuwa miyeyusho Sana yule
 
Aliyekuwa na ubavu wa kupiga vita madawa ya kulevya alikuwa ni Paul Makonda na yule Mmasai aliye kuwa mkuu wa kitengo cha taasisi ya kudhibiti madawa ya kulevya - tangu astaafu taasisi nzima ni nadra kusikika anaweza kufikiri wahusika wote wako likizo!!

You can't be serious,bashite huo uwezo wa kupambana na madawa autoe wapi?kule kutaja watu majina hovyo bila ya ushahid then wakikamatwa na kupelekwa selo anarud nyuma nyuma kuwaomba pesa??

Tuambie katika wooten wale ambao bashite aliwataja wakiwemo manji,Gwajima,wasanii wale na kadhalika nan katiwa hatian na kufungwa???

Acha masihara mkuu
 
Kama hakuna Win Win situation kwenye huo mpango wa Bandari ya Bagamoyo ni bora ukae tu
 
Hahahaha hadi wewe leo humuamini CAG? Umefikia huku? Yaani haya yanayoendelea msimamo na imani yako ndik hii? Really?

Duh aisee yule jamaa aliweza kuwafanya muwe brainwashed kiasi hiki?

JokaKuu
Noma sana,CAG ametoa report ya kitaalam wanasema wanamchafua jiwe,kumchafua vip sasa,yaani wao waliaminije kuwa uongoz wa jiwe ulikuwa wa kitakatifu na hakuna wapigaji??

Sukuma gang wamepagwa sana
 
Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa lengo la kufungulia mradi wa Bagamoyo.

Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu.

Nawakumbusha viongozi kuwa Magufuli alikuwa na ana watu wengi sana Watanzania wanaomwamini kuwa ndie alikuwa mtetezi wa kweli wa rasilimali na Watanzania. Hivyo waende taratibu maana akitokea kichaa akahoji kuhusu kifo na kushawishi vinginevyo kwa matendo yao nchi itayumba.

Nyerere alisema huwezi kumgusa Rais nchi isitikisike. Kifo kimemgusa Rais twendeni taratibu tusitake kuwachafua waliokuwa watumishi waaminifu wa marehemu maana wakijitetea watawashinda mbele ya Umma

Kwann ukumshauri kuvaa barakoa. Mbona ujahoji miradi isiyotija ya Chato.
Chuki,roho mbaya, visasi,hasira moyo gani unaweza himili hivi vitu labda uwe na moyo wa tembo.
 
Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa lengo la kufungulia mradi wa Bagamoyo.

Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu.

Nawakumbusha viongozi kuwa Magufuli alikuwa na ana watu wengi sana Watanzania wanaomwamini kuwa ndie alikuwa mtetezi wa kweli wa rasilimali na Watanzania. Hivyo waende taratibu maana akitokea kichaa akahoji kuhusu kifo na kushawishi vinginevyo kwa matendo yao nchi itayumba.

Nyerere alisema huwezi kumgusa Rais nchi isitikisike. Kifo kimemgusa Rais twendeni taratibu tusitake kuwachafua waliokuwa watumishi waaminifu wa marehemu maana wakijitetea watawashinda mbele ya Umma
Mmebaki kuwa wapiga ramri

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Acha mizuka na kuzusha mambo yasiyo kuwepo.Magufuli ameshakwenda na hatarudi tena,Magufuli alikuwa mwizi na dikteta full stop.
 
Hata kina nape,kinana na makamba waliongezea KWA kusema jamaa alikuwa mshamba Sana,mwenye roho mbaya,fisadi na mbaguz Sana,utaskia tusibaguane KWA ukabila na vyama ila sasa yeye ndie kinara wa ubaguz kama huo,wote tutakufa ila mwache atangulie kwanza,af tuone kama hii nchi itaenda au haitaenda bila yeye
 
Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa lengo la kufungulia mradi wa Bagamoyo.

Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu.

Nawakumbusha viongozi kuwa Magufuli alikuwa na ana watu wengi sana Watanzania wanaomwamini kuwa ndie alikuwa mtetezi wa kweli wa rasilimali na Watanzania. Hivyo waende taratibu maana akitokea kichaa akahoji kuhusu kifo na kushawishi vinginevyo kwa matendo yao nchi itayumba.

Nyerere alisema huwezi kumgusa Rais nchi isitikisike. Kifo kimemgusa Rais twendeni taratibu tusitake kuwachafua waliokuwa watumishi waaminifu wa marehemu maana wakijitetea watawashinda mbele ya Umma
Wazazi wenye watoto kama nyinyi wana bahati mbaya sana
 
Yote haya yanatokea sababu ya sisi wananchi akili zetu zimeshikwa na watu wachache wenye ulafi wa madaraka na wenye kujali maslahi yao binafsi.
1. Fasta zinaenea habari kakutwa na mabilioni maskani
2. Fasta anatolewa
3. Fasta bandari tuliyoambiwa haifai kujengwa inaanza kupigiwa chapuo ijengwe
 
Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa lengo la kufungulia mradi wa Bagamoyo.

Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu.

Nawakumbusha viongozi kuwa Magufuli alikuwa na ana watu wengi sana Watanzania wanaomwamini kuwa ndie alikuwa mtetezi wa kweli wa rasilimali na Watanzania. Hivyo waende taratibu maana akitokea kichaa akahoji kuhusu kifo na kushawishi vinginevyo kwa matendo yao nchi itayumba.

Nyerere alisema huwezi kumgusa Rais nchi isitikisike. Kifo kimemgusa Rais twendeni taratibu tusitake kuwachafua waliokuwa watumishi waaminifu wa marehemu maana wakijitetea watawashinda mbele ya Umma

Pumbavu!
 
Aliyekuwa na ubavu wa kupiga vita madawa ya kulevya alikuwa ni Paul Makonda na yule Mmasai aliye kuwa mkuu wa kitengo cha taasisi ya kudhibiti madawa ya kulevya - tangu astaafu taasisi nzima ni nadra kusikika anaweza kufikiri wahusika wote wako likizo!!
Bashite huyu ninayemjua mimi!?
Tuwe serious kidogo. Scare tactics zake??
Kumkamata Wema na misokoto miwili!
Kutaja majina bila ushahidi!??😂😅😆

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom