Inawezekana kosa la Kakoko ni kuzuia mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Mzee wa watu kajipumzikia msoga huko hana habari na mambo yenu mnayomtuhumu, kama aliweza kupuuza matusi ya kipindi kile akiwa na power hayo maneno yenu hayamsumbui mnapoteza muda kumchafua,

Speech ya Mzee JK kwenye mazishi ya Hayati JPM ilinipa mengi ya kufikiria!

Mengi sana!

Neno kwa neno!
 

Kheri yake alibeba kutoka pande nyingine ya Tanzania akapeleka pande ingine ya Tanzania!

Wale walikua wakipandishwa kwa concord kule KIA kutoka Tanzania kwenda mataifa mengine, tunawaweka fungu lipi?
 
Ndio nayeye aibe pesa !!???
 
Mtu mongo muongo kama Magufuli sio wa kumwamini
Mmekalia uongo wa Magufuli mtu mzushi na muongo level ya Rais
Mramba umewahi kuuona uo mkataba au unajikomba kwa kakonko akutumie mpesa
 
Kakoko wa thief 3.6 billions zimetoweka kwenye Acc za bandari na yy akiwa Director
 
Kheri yake alibeba kutoka pande nyingine ya Tanzania akapeleka pande ingine ya Tanzania!

Wale walikua wakipandishwa kwa concord kule KIA kutoka Tanzania kwenda mataifa mengine, tunawaweka fungu lipi?
Aiseee, inafikirisha sana.

Mmoja alipakia Twiga kuwapeleka umangani.

Mwingine kawapeleka Twiga hao hao kwenye pori la akiba ili liwe hifadhi kamili na utalii utanuke.

Ajabu kuna mazombi wanambeza huyu wa pili na kufurahia kurejea kwa yule wa kwanza! Inafikirisha.
 
Huenda Wachina walitusaidia kuipigisha Shoti ile Pacemaker ila tusikubali kuzulumiwa Bagamoyo.
 
Kakonko ni mwizi kama meko,huyo hayati wenu alikua jambazi kuliko awamu zote
 
Nadhani huyu jamaa alijikita sehemu moja tu faida ya moja kwa moja bandarini bila kuwaza nje ya box faida za kiuchumi ambazo zingepatikana kwa kuwepo bandari tu mpya na ya kisasa pale. Maana swali la kwanza ingekuwa je bandari ya Bagamoyo inahitajika na sababu zipi zikaleta huu mradi wakati tunajuwa bandari tunazo. Ni kwa sababu kuna sababu. Mwekezaji anakuja kuwekeza mradi mkubwa viwanda vingapi na biashara ngapi zingefunguka na ajira kwa maana viwanda ndio ilikuwa chanzo na bandari huduma kurahisha biashara na kuteka soko la kusini mwa Africa. mjadiliane hii ni biashara lakini sio kwenda katika vyombo vya habari hawa wawekezaji waizi, hapana hawa wanafanya biashara na wanataka faida hakuna mwizi hapa ni kuongea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…