Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Nchi imekuwa ya AJABU sana hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale.
Inachoknekana Samia hana utashi wake wa uchaguzi nani awe mtendaji flani wa taasisi fulani, wanamchagulia.
Ni jambo la kusikitisha kwamba Rais Samia chaguzi zake zote ni wale watu waliokua kwenye utawala wa Jakaya Kikwete, yaani karibu wote waliokua kwenye utawala wa Kikwete Samia amewarudisha kwenye nafasi za utendaji Serikalini.
Rais Samia anaamini ili utawala wake uende anavyotaka basi ni kua na timu ya Kikwete.
Nashindwa kuelewa ina maana watu 60m Samia amekosa kabisa watu wapya yeye ni kurudisha watu wale wale wa miaka ile Serikalini.
Watu wanaposema kuna mtu mwingine anaeongoza hili taifa kwa nyuma sasa naanza kuwaelewa.
Angalia kwa mfano aliowarudisha, Alianza na Mafuru akampa ukamishna wa madeni ya nje kisha unaibu katibu mkuu, hiyo nafasi ya kamishna wa Madeni kampa R. Bade aliekua mkuu wa TRA enzi za Kikwete.
Kwa watu 60M hakuna mtu mwingine mwenye akili zaidi ya kina Bade, Mchechu, Mafuru na wengine?
Ungetoa na mifano. Kila raisi akiingia huwa anateua watu wake wala hakuna maajabu. Hata kikwete alivyoingia aliteua mkurugenzi wake, Magufuli hivyohivyo, Samia hivyo hivyoTatizo kuna watu wanaamini kuwa maamuzi ya JPM yalikuwa sawa na ya haki. Hii siyo kweli kabisa. Kuna watu walikuwa victimised bila sababu na wengine rewarded because of tribe and praising/loyalty to the chair.
Kwako wewe mchumia tumbo hakuna ubaya wowote!Kwani kuna ubaya gani?
Huko ni kudunisha madaraka ya Rais. Rais ni mtu. Unadhani kwanini haitwi Taasisi ya Rais? Sema Rais ana wasaidizi, sio mtuambie Rais ni taasisi wakati ni uongo.
Rais wa Tanzania hathibitiki na hivyo haina hadhi ya kuwa taasisi. Rais wa Tanzania ni mtu na huamua uelekeo wa nchi kwa utashi wake na wala sio kwa taasisi zilizoko chini yake.
Tumeshuhudia hayo mara kibao.
Ndio maana Nyerere aliitwa haambiliki, JPM wakamuita Jiwe, Kikwete wakamuita Vasco Da Gama.
Hata kwa macho ya kawaida unaona kabisa kinachofanywa na marais wetu sio maamuzi ya kitaasisi. Mara nyingi ni maamuzi ya mtu binafsi.
Siku anamuapisha CDF na CoS, Samia alisema serikalini kila mtu anaingia na lake, ila jeshini unaendeleza pale alipoishia mwenzio.
Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale.
Inachoknekana Samia hana utashi wake wa uchaguzi nani awe mtendaji flani wa taasisi fulani, wanamchagulia.
Ni jambo la kusikitisha kwamba Rais Samia chaguzi zake zote ni wale watu waliokua kwenye utawala wa Jakaya Kikwete, yaani karibu wote waliokua kwenye utawala wa Kikwete Samia amewarudisha kwenye nafasi za utendaji Serikalini.
Rais Samia anaamini ili utawala wake uende anavyotaka basi ni kua na timu ya Kikwete.
Nashindwa kuelewa ina maana watu 60m Samia amekosa kabisa watu wapya yeye ni kurudisha watu wale wale wa miaka ile Serikalini.
Watu wanaposema kuna mtu mwingine anaeongoza hili taifa kwa nyuma sasa naanza kuwaelewa.
Angalia kwa mfano aliowarudisha, Alianza na Mafuru akampa ukamishna wa madeni ya nje kisha unaibu katibu mkuu, hiyo nafasi ya kamishna wa Madeni kampa R. Bade aliekua mkuu wa TRA enzi za Kikwete.
Kwa watu 60M hakuna mtu mwingine mwenye akili zaidi ya kina Bade, Mchechu, Mafuru na wengine?
Umeanza vizuri ila umemaliza vibaya. Mama Samia ana haki ya kupanga watu wake anaoona wanafaa Kama ilivyokua kwa maraisi wengine. Hata atayekuja baada ya mama Samia nae atafanya hivyo.Sasa cha ajabu ni kipi hapo wakati hata yeye SSH ni team JK wala hajawahi kuwa team JPM..
Pili role model wa Rais Samia ni JK na Wala sio JPM na watu waliokuwa utawala wa JK ndio wanaomuunga mkono Samia..
Mwisho kila mtu anapanga Safu yake na lazima uelewe kwamba JPM hayupo tena na watu wake watatolewa mmja baada ya mwingine kama tuu Mwendazake alivyowatoa na kuweka watu wake..
Kwa mfano huyo Bade alitolewa kwa kisingizio cha kusababisha hasara serikali ya bil.80 kwa kutotoza ushuru makontena lakini so Takukuru wala Mwendazake aliyempeleka Mahakamani..
Hapo unaona ilikuwa geresha Ili amuweke mtu wake kule TRA.
Rostam azizi na kikundi cha waarabu koko wenzakeKwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale.
Inachoknekana Samia hana utashi wake wa uchaguzi nani awe mtendaji flani wa taasisi fulani, wanamchagulia.
Ni jambo la kusikitisha kwamba Rais Samia chaguzi zake zote ni wale watu waliokua kwenye utawala wa Jakaya Kikwete, yaani karibu wote waliokua kwenye utawala wa Kikwete Samia amewarudisha kwenye nafasi za utendaji Serikalini.
Rais Samia anaamini ili utawala wake uende anavyotaka basi ni kua na timu ya Kikwete.
Nashindwa kuelewa ina maana watu 60m Samia amekosa kabisa watu wapya yeye ni kurudisha watu wale wale wa miaka ile Serikalini.
Watu wanaposema kuna mtu mwingine anaeongoza hili taifa kwa nyuma sasa naanza kuwaelewa.
Angalia kwa mfano aliowarudisha, Alianza na Mafuru akampa ukamishna wa madeni ya nje kisha unaibu katibu mkuu, hiyo nafasi ya kamishna wa Madeni kampa R. Bade aliekua mkuu wa TRA enzi za Kikwete.
Kwa watu 60M hakuna mtu mwingine mwenye akili zaidi ya kina Bade, Mchechu, Mafuru na wengine?
Kwa ujinga kama huu wako, kwa nini huyo unayemzungumzia asiendelee kuwapuuza!Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale.
Angalia upumbavu huu.Kuhusu bade kutopelekwa mahakamani hapo umepotea njia. Kakoko tumemuondoa TPA kwa ubadhirifu wa bil 3 Ila hakupelekwa mahakamani, hata wakurugenzi waliokula pesa za uviko wameondolewa na mama Samia bila kupelekwa mahakamani. Usikariri
Rais hawezi kujua wateuliwa wake wote zaidi ya 3675Ndiyo. Kuna ubaya sana. Kwa sababu unakuwa na watu ambao wanakuwa watiifu sio kwake bali kwa Godfather.
Nchi inaongozwa na mtu ambaye hana dhamana hiyo.
Inaelekea uko sahihi.Wanaompa majina ni JK na Rostam Azizi hivyo tafuta connection na hao jamaa
Na ndiyo maana hatutaendelea hata miaka miambili ipite. Nchi yetu ni 'design' ya nchi kama Haiti!Rais wa Tanzania hathibitiki na hivyo haina hadhi ya kuwa taasisi. Rais wa Tanzania ni mtu na huamua uelekeo wa nchi kwa utashi wake na wala sio kwa taasisi zilizoko chini yake.
Nchi inaongozwa na katibu mkuu kiongozi.Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale.