Inawezekana kuna mtu anamchagulia Rais Samia watendaji wa Serikali

Jakaya Mrisho Kikwete! tunaomba utuachie nchi yetu muda wako umepita! Umetuchosha!!
Nawe wewe samia katiba ya Tz inakutambua wewe na si Jakaya tafadhali achana naye
 
Tatizo kuna watu wanaamini kuwa maamuzi ya JPM yalikuwa sawa na ya haki. Hii siyo kweli kabisa. Kuna watu walikuwa victimised bila sababu na wengine rewarded because of tribe and praising/loyalty to the chair.
 
Raisi ni Taasisi, lakini kwa Tz sidhsni kama ni taasisi bali ni mtu na ndio maana anatajwa yeye tu na sio taasisi.
 
Tatizo kuna watu wanaamini kuwa maamuzi ya JPM yalikuwa sawa na ya haki. Hii siyo kweli kabisa. Kuna watu walikuwa victimised bila sababu na wengine rewarded because of tribe and praising/loyalty to the chair.
Ungetoa na mifano. Kila raisi akiingia huwa anateua watu wake wala hakuna maajabu. Hata kikwete alivyoingia aliteua mkurugenzi wake, Magufuli hivyohivyo, Samia hivyo hivyo
 
Kilaza huyo, amekariri tu misemo ya watu wenye akili duni huko mitaaani.
 
Utasikia UNGURUMO aliyebeba pesa za IPTL kwenye mifuko ya sandros kurudi ikulu
 
Sasa cha ajabu ni kipi hapo wakati hata yeye SSH ni team JK wala hajawahi kuwa team JPM..

Pili role model wa Rais Samia ni JK na Wala sio JPM na watu waliokuwa utawala wa JK ndio wanaomuunga mkono Samia..

Mwisho kila mtu anapanga Safu yake na lazima uelewe kwamba JPM hayupo tena na watu wake watatolewa mmja baada ya mwingine kama tuu Mwendazake alivyowatoa na kuweka watu wake..

Kwa mfano huyo Bade alitolewa kwa kisingizio cha kusababisha hasara serikali ya bil.80 kwa kutotoza ushuru makontena lakini so Takukuru wala Mwendazake aliyempeleka Mahakamani..

Hapo unaona ilikuwa geresha Ili amuweke mtu wake kule TRA.
 
Umeanza vizuri ila umemaliza vibaya. Mama Samia ana haki ya kupanga watu wake anaoona wanafaa Kama ilivyokua kwa maraisi wengine. Hata atayekuja baada ya mama Samia nae atafanya hivyo.

Kuhusu bade kutopelekwa mahakamani hapo umepotea njia. Kakoko tumemuondoa TPA kwa ubadhirifu wa bil 3 Ila hakupelekwa mahakamani, hata wakurugenzi waliokula pesa za uviko wameondolewa na mama Samia bila kupelekwa mahakamani. Usikariri
 
Rostam azizi na kikundi cha waarabu koko wenzake
 
Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale.
Kwa ujinga kama huu wako, kwa nini huyo unayemzungumzia asiendelee kuwapuuza!

Jitu zima unazungukazunguka tu na kuandika takataka hapa. Kwa nin i huyo unayemsema kufanyiwa kazi ya uteuzi asiteue, au hata kuhoji walioteuliwa kwa niaba yake?

Wewe unamwonaje hasa huyu mtu, kiasi kwamba asiweze kuwa ndiye mteuzi wa hao unaoona wewe wamewekwa kwa niaba yake.

Haya, tueleze sababu zinazokufanya uone kwamba yeye siyo aliyewateua hao unaolalamikia.
 
Kuhusu bade kutopelekwa mahakamani hapo umepotea njia. Kakoko tumemuondoa TPA kwa ubadhirifu wa bil 3 Ila hakupelekwa mahakamani, hata wakurugenzi waliokula pesa za uviko wameondolewa na mama Samia bila kupelekwa mahakamani. Usikariri
Angalia upumbavu huu.
Mtu na akili zako timamu unaandika vitu kama hivi watu wasome na wakuone wewe umetoa mchango wa maana sana katika utatuzi wa matatizo ya nchi yetu?

Kwa hiyo wewe unamtaka Samia ale ngapi kabla hajaondoka kwa matakwa yake kwenye uongozi!
 
Ndiyo. Kuna ubaya sana. Kwa sababu unakuwa na watu ambao wanakuwa watiifu sio kwake bali kwa Godfather.
Nchi inaongozwa na mtu ambaye hana dhamana hiyo.
Rais hawezi kujua wateuliwa wake wote zaidi ya 3675
 
Rais wa Tanzania hathibitiki na hivyo haina hadhi ya kuwa taasisi. Rais wa Tanzania ni mtu na huamua uelekeo wa nchi kwa utashi wake na wala sio kwa taasisi zilizoko chini yake.
Na ndiyo maana hatutaendelea hata miaka miambili ipite. Nchi yetu ni 'design' ya nchi kama Haiti!
 
Nchi inaongozwa na katibu mkuu kiongozi.
Mwenyewe juzi akimuapisha CDF aliweka wazi maana alimuambia CDF mstaafa SC atakupangia kazi.
Baadae akateuliwa na RAI[emoji45][emoji45][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…