Inawezekana kweli Lissu amewatangulia Wanasheria wa CCM kwa miaka mia moja mbele


Ila huwa nawashangaa sana wanaovutia hii Kesi upande wa Lissu bila kuona Faida gan wanayo upande wa pili.

hawa mashahidi kutokufika Mahakamani ni pigo kwa Lissu.
Tena wamemuambia maneno bold kuwa wao wako upande wa mashtaka.

Sasa mtu anawaza kuwa eti hii ni faida ya Lissu. Wakati kiuhalisia haijakaa sawa upande wake. Maana mahakama haijapata/kurekodi ushahidi ambao Lissu alikusudia kuuonyesha kutoka kwa hawa mashahidi.
ni Pigo kwa Lissu.
 
Hiyo mahakama hukumu ya aina yoyote watakayotoa hawawezi kujitenga na ukweli kuwa inaongozwa kwa shinikizo. Na kwa kukusaidia tu, haiwezi kutoa hukumu nje ya matakwa ya serekali.
 
Anasema ni adui yake, bila shaka angetumia hii nafasi kummaliza kabisa, ni kama alikua amepewa penalty bila kipa, Unasema wewe ni adui yangu na umepewa nafasi ya kummaliza alafu unakimbia,
Huyo ni rafiki yako,hawa ni marafiki
 
Kwani hiyo mahakama inategemea ushahidi wa upande wa utetezi? Hiyo mahakama ilikuwa na hukumu ya maagizo toka awali, watakachofanya ni kucheza na maneno ili kufikia maamuzi yanayotakiwa na serekali. Yule aliyeagiza rais atangazwe kwa kura 31m ambazo hakukuwa na idadi hiyo ya wapiga kura vituoni, ndio anayeagiza sasa mahakama itoe hukumu nje ya ushahidi.
 
Waambieni ma bwana wakubwa wafosi fosi mambo kama ilivyo kawaida wamwokoe mfalme na aibu kama ilivyo ada.

Majaji watoe hukumu ili waingie katika record ya kuhukumu bila ushahidi unaokubalika

Hakuna kesi ya uhaini hapo hata mtoto wako mdogo mwambie atakupa tafsiri nzuri.
 

Lissu hana Uhaini wowote ni watawala wanamuogopa Lissu tu kua nje kwasababu ya upumbavu wao waliofanya October 29
 
Ndio mtu mmoja anaweza kutengeneza kikundi cha uasi na kupindua nchi, Osama bin Laden aliishambulia Marekani, huko yeye akiwa amejificha mapangoni Afghanistan! Tumia akili
Hujaelewa dhima ya mtoa mada.
Ilipaswa Lissu awepo korokoroni/kizimbani na watuhumiwa kadhaa.
Mfano mzuri kesi ya mbowe kulikua hadi na wanausalama kadhaa wastaafu ama active hapa sikumbuki vizuri.
 
You are putting the horse before the cart.

Wait for final outcome of the case b4 we start breaking out champaigne corks.

You have no freaking idea what the verdict of the case will be.

DO NOT ANTAGONIZE THE JUDGES. AT THIS TIME BE HUMBLE
No..!

The alignment of the cart & the horse is perfect..

There's no prediction in this case..

There's no antagonism for the judges...

The Prosecution has completely failed to show the evidence of their case to justify the treasonous acts of a single person - Tundu Lissu..

Yesterday everything was put to open by DCI Ramadhani Kingai..

The agreement to put everything to an end has been reached...

Kingai's refusal to testify before the court and his off record statement justifies the end of this stupid game...
 
MaCCM ni majitu yenye akili za kiquma na kichoko sana. Hayafikirii zaidi ya urefu wa pua zao.
 
Mhimili wa Mahakama umenyooshewa vidole siku zote kuwa hauko huru na unatumika na mhimili uliojichimbia zaidi ndani yake kupoka haki za raia. Kesi hii ndiyo itakuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza la " Mahakama huru." Jaji Ndunguru na jopo lake wanayo nafasi ya kulinda heshima kiduuuchu iliyobaki kwenye Mhimili huu.
 
Ili mahakama ifanye maamuzi kwa usahihi inatakiwa anaye mshitaki Tundu Lissu anatakiwa awe na ushahidi usiotilia shaka ngoja ni kuulize uhaini au njama zozote za kupindua serikali inafanywa na mtu mmoja? Mbona hatujaona kwenye ushahidi wa serikali ukitaja watu walioshirikiana na Lissu kufanya Hilo mbona kakamatwa pekee?
 
You are putting the horse before the cart.

Wait for final outcome of the case b4 we start breaking out champaigne corks.

You have no freaking idea what the verdict of the case will be.

DO NOT ANTAGONIZE THE JUDGES. AT THIS TIME BE HUMBLE

Kwani mmepangaje huko?
 
You are putting the horse before the cart.

Wait for final outcome of the case b4 we start breaking out champaigne corks.

You have no freaking idea what the verdict of the case will be.

DO NOT ANTAGONIZE THE JUDGES. AT THIS TIME BE HUMBLE
Nikajua una chochote kumbe Majibu yako na ya Kingai hayana tofauti it's pity!!
 
Usemacho ni sahihi, Lissu alikuwa anajua kabisa hakuna atakayetokea mahakamani anawajua vizuri... Zaidi ameonyesha ulimwengu mambo yalivyo.
 
Kwa kuongezea hiyo hiyo video ambayo unayoisema, mahakama wameikataa kua km ushahidi, tena wamesema ni takataka.

Sasa sijui nini kipo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…