Nasema hivi, acha ulimbukeni wa kurukia kila neno linalotrend. Simamia maneno yako na sio kufuata Mkumbo.Hakuna fashion ya kwenda nayo. Ilo neno linaakisi uhalisia wa mnachofanya. Zamani nilikuwa nawaamini sana, kumbe ni wazee wa kutwist stori ili kuonesha chama fulani kinapendwa.
Siku mihemko ikikuisha utaelewa.
Mbona sasa wewe ndiyo unamlisha Lissu maneno?Jamaa kajibu kwa kifupi tu, kwamba yeye na wengine ambao mshtakiwa kawaita hawawezi kutoa ushahidi wa kumtetea mshitakiwa kwa sababu na wao ni sehemu ya washtaka.
Sasa hizi ngonjera za kupotosha sijui mnazitoa wapi? Mnawalisha watu maneno ambayo hayajasemwa na kupotosha ili majibu yakitoka tofauti na upotoshaji wenu muanze kulaumu mahakama.
Ila huwa nawashangaa sana wanaovutia hii Kesi upande wa Lissu bila kuona Faida gan wanayo upande wa pili.
hawa mashahidi kutokufika Mahakamani ni pigo kwa Lissu.
Tena wamemuambia maneno bold kuwa wao wako upande wa mashtaka.
Sasa mtu anawaza kuwa eti hii ni faida ya Lissu. Wakati kiuhalisia haijakaa sawa upande wake. Maana mahakama haijapata/kurekodi ushahidi ambao Lissu alikusudia kuuonyesha kutoka kwa hawa mashahidi.
ni Pigo kwa Lissu.
Hizi za mahakama za maelekezo hazitabiriki.Hii kesi ukiifuatilia hakuna mahali popote ambapo kunaonesha kwamba mshtakiwa "alikula njama..."
Sasa kama hakuna njama, sijui kosa linatokeaje!!!
hata chombo kama JWTZ kwa sasa kimeonekana cha kipuuzi tu kutokana na upumbavu unaoendelea.Selikali
Bunge
Na sasa Mahakama Imevuliwa nguo na Lissu.
Mihimili yote ipo uchi
Kila muhimili umedhihirisha mapungufu yake na Lissu kwa nyakati tofauyi tofauti.
Tanzania Imebakwa na hawa wapumbavu waswahili.
wiki ijayo inaisha, yani kutolewa hukumu.Kwani hukumu ya hii kesi ni lini wajuvi au itachukua muda gani kutangazwa hukumu
Unamaanisha shahidi anayepaswa kukutetea asipofika kizimbani kukutea unakuwa umeshinda kesi?Kuna mahala mtego umefichwa na wengi humu hamjaubaini. Kingai kaongelea man3no yale nje ya mahakama kwa maana ya kizimba na majaji hawakushirikishwq kwa maana ya kumwapisha.
Kwa maneno mengine kaidharau mahakama.
Hii technicality inakwenda kumwachia huru Lissu.
Uko sahihi, inatakiwa watu wajinga ili hilo neno uache kuiga kulitumia.Linatrend kwa sababu ya watu wenye mihemko kama wewe. Siku mkiacha mihemko hilo neno halitatrend
Hizi za mahakama za maelekezo hazitabiriki.
Hakuna sehemu ambapo Lissu amemnukuhu Kingai akisema "na wao ni sehemu ya washtaka" kama ambavyo umesema wewe.Nukuu maneno aliyosema Mahakamani kama ambavyo iliandikwa humu
Kwa bahati mbaya wajinga wameshaisha boss.Kwa watu wa mihemko kama wewe litaendelea kuwepo. Bora kuwa mjinga kuliko kuwa na mihemko
Labda ipigwe simu kwa majaji kama alivyowahi kusema ROSTAM AZIZ,vinginevyo TAL ana point tatu na magoli matatu.Lissu Yuko mbele ya Muda dhidi ya CCM na wanasheria wote wa CCM.
Kwa kifupi watu wengi hawakuelewa,hata Mimi sikumuelewa aliposema mashahidi wake ni RAIS Samia,CDF,IGP,DGTISS na Kingai.
Kwa kifupi alipowataja Hawa kua ndio mashahidi wake alikua amelenga mitego miwili kwa ajili ya kupiga TKO.
Leo ndio nimegundua baada ya kupelekea kumaliza kesi kiaina na kirahisi sana.
Mtego wa kwanza alijua hata wakija hawana ushahidi wa kweli kua alitaka kupindua nchi yeye peke yake,hivyo atawashinda.
Mtego wa pili alikua fika hawatakuja kwa kua hawana ushahidi kua lisu alipanga njama peke yake za kuangusha serikali hivyo atashinda.
Kama mtakumbuka mwanzoni alimuuliza mtu je mpango wangu wa uhaini Mkuu wa Usalama wa Taifa anajua?
Je CDF anajua ,?
Je IGP anajua ,?
Mlipeleka taarifa kwa Wakuu hao?
Majibu yakawa hapana.
Mtu akaulizwa,Sasa tukio kubwa kama hili watu Wazito kama Hawa hawakua na taarifa,mko serious kweli nyinyi?
Leo Kingai kasema siwezi kua shahidi wako na nitafurahi ukikutwa na hatia na wenzangu Wana msimamo kama wangu.
Kwamba watafurahi akikutwa ana hatia,kwa hiyo hata Kingai Hana uhakika kama Lisu ana hatia.!
Sasa kama hawana uhakika kama atakutwa na hatia walimfungulia mashitaka ya uhaini kwa ushahidi upi?
Aisee kesi imeishia hapo,labda endeleeni kupoteza nguvu na pesa TU.
Kama kweli walikua wanataka kumtia hatiani Lisu na kama kweli walikua Wana ushahidi ,Hawa Wakuu wanne ndio wangemmaliza Lisu.
Maana taarifa zote za ulinzi na usalama wa nchi za Kila siku zinapitia mezani kwao,haijalishi Lisu ana maswali magumu na ya kudhalilisha kiasi Gani,kama Wangekua na ushahidi ,wangemkaanga TU.
Wangejitia wababe kwamba waje wamkaange Lisu Kwa ushahidi wa uongo,Dunia ingeingia kwenye rekodi ya Wakuu wanne wa Vyombo vya Dola kua waongo zaidi duniani.
Jamani,kutetea uongo ni ngumu sana.
Iko hivi,kesi kama ya akina Hatty Mack Ghee(Hatibu Ghandi),Rugangira,Ngaiza,Eugin Maganga,Comando Taminu na Wenzao hata angeitwa Nyerere,Kawawa na wenzao waende Mahakamani wangeenda kwa sababu kulikua Kuna ushahidi usio na chembe ya mashaka.
Nchi inawezaje kuangushwa na mtu mmoja?
Yaani mhaini mmoja TU,aliataka kupindua nchi.
Mijadala kama hii inakuzidi kimo ndugu yangu, kaa mbali nayo. Kinachoongelewa hapa ni uhaini, tendo ambalo nina hakika hata ungepewa miaka kumi huwezi kuelewa ni tendo gani!Mihimili yote iko uchi, kwa hiyo....
Unajiona una akili lkn ukweli hunazo.Ndio mtu mmoja anaweza kutengeneza kikundi cha uasi na kupindua nchi, Osama bin Laden aliishambulia Marekani, huko yeye akiwa amejificha mapangoni Afghanistan! Tumia akili
Watu wengi wenye kufahamu MAHAKAMA za TANZANIAN tunaweza kutabiri maamuzi ya mwisho ya kesi hii.You are putting the horse before the cart.
Wait for final outcome of the case b4 we start breaking out champaigne corks.
You have no freaking idea what the verdict of the case will be.
DO NOT ANTAGONIZE THE JUDGES. AT THIS TIME BE HUMBLE
Je umejiuliza kwa nini Kingai alikuwa na ujasiri wa kufika ndani ya mahakama lakini akakosa uthubutu ya kuwakabili majaji?Nimebaki mimi na watu wenye mihemko kama wewe
Kama ww ni mjinga hiyo ni kimpango wako.Nimebaki mimi na watu wenye mihemko kama wewe
Wamempotezea muda na pia kodi zetu zimetumika VIBAYA sana.je mpango wangu wa uhaini Mkuu wa Usalama wa Taifa anajua?
Je CDF anajua ,?
Je IGP anajua ,?
Mlipeleka taarifa kwa Wakuu hao?
Majibu yakawa hapana.
Mtu akaulizwa,Sasa tukio kubwa kama hili watu Wazito kama Hawa hawakua na taarifa,mko serious kweli nyinyi?
Swali la kijinga hili hata hivyo ngoja nikujibu.Je umejiuliza kwa nini Kingai alikuwa na ujasiri wa kufika ndani ya mahakama lakini akakosa uthubutu ya kuwakabili majaji?
Unajua kwenda na fashion 🤣🤣Saw, ila uache mihemko, soma, sikia elewa ndo uongee