Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Wacha litekelezwe lililopo kwanza. Hayo mengine tutadili nayo ukifika.Mnaweza mkafanya vyovyote mnavyotaka,lkn kaa ukijia Tanzania sio Kijiji.
Matokeo take yanaweza kuligharimu Taifa pakubwa
Ndio mtu mmoja anaweza kutengeneza kikundi cha uasi na kupindua nchi, Osama bin Laden aliishambulia Marekani, huko yeye akiwa amejificha mapangoni
Hakuna loloteSubiri Sasa haijaisha,subiri uone move ya pili baada ya hiyo ya mashahidi kukwepa
Salute....Kuna mahala mtego umefichwa na wengi humu hamjaubaini. Kingai kaongelea man3no yale nje ya mahakama kwa maana ya kizimba na majaji hawakushirikishwq kwa maana ya kumwapisha.
Kwa maneno mengine kaidharau mahakama.
Hii technicality inakwenda kumwachia huru Lissu.