Inawezekana Manara akaondoka na wachezaji "wake" Walioko Yanga, wakahamia Azam?

Inawezekana Manara akaondoka na wachezaji "wake" Walioko Yanga, wakahamia Azam?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Set up inapangwq vizuri tu, na inawezekana siku "atakayoongea" Tutajua mengi, kwa sasa ni suala la pasenti atakayopata kutoka kwa tajiri na kila mchezaji, Manara "anawadalalia" Wachezaji wa Yanga kwa big boss mzee wa aiskrim.

Kwa sasa Vita imehamia kwa Hashim, maana kwa Ally, Dua zake zake za kinga zinaonekana zilifanyika Makha, Dogo ana ukuta wa zege, wameenda katika plan B ya ajali. Mafundi wote wanahema karibu kifo wakitaja jina la Ally

Finishing ni nyuzi za jezi za mastaa wa Yanga tu, ziibiwe kwa gharama yoyote, ndio anafanya sasa hivi kwa kushirikiana na "watu wake" Ndani ya club, na pia kusuka sabotage.

Kama namuona GSM atakavyopigwa fitna siku anamtema mzungu, mulomo utapigwa wa kufa mtu
 
Tuliwaonya viongozi wa Yanga na wale mashabiki fuata upepo juu ya kukaribisha Kirusi ndani ya timu yetu,yule mpuuzi anapenda sifa na ukubwa popote alipo,na mjanja mjanja sana,alipotoka Simba alimsema yule Dada Badra, lakini recently akadai aliindoka Simba kwasababu ya Try again......siyo wa kuaminika kabisa
 
Dua zake zake za kinga zinaonekana zilifanyika Makha, Dogo ana ukuta wa zege, wameenda katika plan B ya ajali. Mafundi wote wanahema karibu kifo wakitaja jina la Ally
Nimechekaa kifalaaa ila ww jamaa jau sanaaa😅
 
Mbona mnampa “ukubwa” huo huyu mzaramo?

Hivi kuna watu wanaamini kabisa Haji Manara ana influence hiyo?

Ujinga ni mzigo
 
Back
Top Bottom