Inawezekana Manara akaondoka na wachezaji "wake" Walioko Yanga, wakahamia Azam?

Inawezekana Manara akaondoka na wachezaji "wake" Walioko Yanga, wakahamia Azam?

Set up inapangwq vizuri tu, na inawezekana siku "atakayoongea" Tutajua mengi, kwa sasa ni suala la pasenti atakayopata kutoka kwa tajiri na kila mchezaji, Manara "anawadalalia" Wachezaji wa Yanga kwa big boss mzee wa aiskrim.

Kwa sasa Vita imehamia kwa Hashim, maana kwa Ally, Dua zake zake za kinga zinaonekana zilifanyika Makha, Dogo ana ukuta wa zege, wameenda katika plan B ya ajali. Mafundi wote wanahema karibu kifo wakitaja jina la Ally

Finishing ni nyuzi za jezi za mastaa wa Yanga tu, ziibiwe kwa gharama yoyote, ndio anafanya sasa hivi kwa kushirikiana na "watu wake" Ndani ya club, na pia kusuka sabotage.

Kama namuona GSM atakavyopigwa fitna siku anamtema mzungu, mulomo utapigwa wa kufa mtu
Endeleeni kuzusha ila zamu itafika.
 
Back
Top Bottom